Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopiga risasi zote hizo na kufuatilia kwa wiki kadhaa wamelipwa sh. ngapi? Mbona hujauliza hilo kabla? Tujue gharama ya hao watu wasiojulikana ndo tuanze kuuliza hizi. Pili Hesabu ni kiasi gani cha pesa kingeponyeshwa kama serikali isingezuia watu kutoa damu? Je, hiyo si gharama vile vile? Watu tulichangishwa kwa ajili ya tetemeko, waathirika mpaka sasa wanaishi kwa ndugu na pesa zilienda wapi? Watoto wa Arusha walifariki lambilambi zikachukuliwa je mliuliza ni kiasi gani na zilifanya nini kwa wafiwa?Hakuna mahali niliposema msichange,swali unalolikwepa wewe mtu wa NY ni hili hapa.
Je hiyo pesa itafika kwa mgonjwa?je itatumika kwa matibabu yake tu?change inayobaki inaenda wapi?Nani atakayehifadhi hiyo balance?we are talking about big money.Mwana NY piga mahesabu watu milioni 5 wakitoa buku buku ni shilling ngapi?Natoa tu tahadhari kuna mtu kaona dili hapa shauri yako.Watu wametupiwa vitu nje au umesahau?
Unajua Mara nyingi anaongelea kuhusu future Leo utamponda lakini kesho yatatokea yote aliyosema tena by true Evidence.Wewe yako umeyaweza? Kwani anayoongea kuhusu Diamond ni uongo? Aliongea la mtoto wa Hamisa na kweli leo kamkubali, pia aliongea la Diamond kutoka na Dillish wa bigbrother amekanusha Leo lakini badae itafahamika tu
Me nimeamua sichagi mpaka nijue nani anayekabidhiwa hizi pesa,tumlete hapa jukwaani tuanzishe uzi wakujadili maisha yake ya kabla na utaunzaji wake wa fedha kabla hutajampa hizi tunazochanga!Ukitaka kuchanga we Changa ukifikiria Negative kila siku hautaweza kupiga hatua ata kwenye maendeleo yako.
Ndio mana nahoji kabla hatujachanga.Hao unaosema walifuatilia na kupiga risasi pia waliomba michango humu?kama waliomba samahani sikuona huo uzi mkuu.Waliopiga risasi zote hizo na kufuatilia kwa wiki kadhaa wamelipwa sh. ngapi? Mbona hujauliza hilo kabla? Tujue gharama ya hao watu wasiojulikana ndo tuanze kuuliza hizi. Pili Hesabu ni kiasi gani cha pesa kingeponyeshwa kama serikali isingezuia watu kutoa damu? Je, hiyo si gharama vile vile? Watu tulichangishwa kwa ajili ya tetemeko, waathirika mpaka sasa wanaishi kwa ndugu na pesa zilienda wapi? Watoto wa Arusha walifariki lambilambi zikachukuliwa je mliuliza ni kiasi gani na zilifanya nini kwa wafiwa?
Jane go to makutano junction kuna kijiumbe chako.!Yale matusi anayotukana ndo yaliyompa umaarufu, na ndo u unique wake ambao Madada wengine hatuwezi kufanya
Atarudi tu kaniambiaSijui kama atakubali kurudi
Ameniambia atarudi soon tuAkikanyaga Tz ameisha!
Mkuu chochote kitu kinatoshaSijachanga bado na nilijisikia vibaya kutuma Tsh. 1,500/-, nilitaka walau nitume 25,000/- lakini hali ikiendelea kubana hivi itabidi nitume chochote kilichopo ili kisaidie mapema. Kikubwa kabisa ni sala zangu zisizokoma kwa mpendwa huyu.
Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.Vipi mkuu Roho mbaya yake iko wapi ameshawahi kukuibia ,kukukaba au kukunyima msaada ulipomuomba au ni husda tu ya Roho yako.
Kwani hata zikichangwa zikavuka lengo unadhani kitaharibika nini?Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
Your are right but they were funded by invisible body. Je huyo anayegharimia hiyo ni nani? Heri yetu tuliwe tunajua haziendi serikalini kama zilivyokwenda za tetemeko kagera na watoto wa Arusha. Sick.Me nimeamua sichagi mpaka nijue nani anayekabidhiwa hizi pesa,tumlete hapa jukwaani tuanzishe uzi wakujadili maisha yake ya kabla na utaunzaji wake wa fedha kabla hutajampa hizi tunazochanga!
Ndio mana nahoji kabla hatujachanga.Hao unaosema walifuatilia na kupiga risasi pia waliomba michango humu?kama waliomba samahani sikuona huo uzi mkuu.
Wewe unasafiri bado upo mitandaoni?Viva Mange.
Ubuyu na Kazi