Sawa boss
 
Inategemea usingle mother ulikujaje either mwanaume aliezaa nae aliamua tu kumwacha labda hata tu kwa kupenda waschana wengine akamwona huyo hafai. You never know mkuu. Mwanamke kuwa single mother lazima kuna reasons nyuma yake.
Tell him boss
 
Nadhani wewe bado ni mtoto hujielewi kabisa
 
Natafuta watu kama hao ukweli siku nikipata lazima nitaoa tu
 
Ndugu, hawa watu siyo wabaya kuoa na hata Mungu anaruhusu jambo hilo, ila tatizo aina ya hawa singo maza tulio nao Leo wenye namba na mawasiliano ya hao wanaowaita washawaumiza kimapenzi na kuwatelekeza ndo shida ya kwanza ilipo.

Pili hiyo familia unailea vipi na hao ndg wa watoto wa uzao wako bila wao kubaguana, hapo sitaki kufafanua ila ugumu utakuja kuuona mwenyewe mbeleni.

NB; ukiwa kama kijana aidha wa kiume/kike epukeni kuwa na mtoto kabla ya ndoa kamili hata kama una uwezo wa kumlea, ni tatizo litakalotafuna maisha yako yote, hakuna mzazi/ndg/rafiki mwenye mapenzi mema atakayekushauri kuoa/kuolewa na single mother/father.
 
Tatizo linakuja kwenye ndugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…