Aseeee ingekuwa ivoo hawa watu wasingeolewa ujue...
 
Hayo maswali siwezi jiuliza siwezi badili mda na matokeo napambana na nilichokikutaa
 
Ni maji kwenda mbele[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Comments zikifika mwisho umalizie tena na comment hii ili awe anaisoma na kuikumbuka kila mara pengine ataelewa.
 
Hakuna mke mzuri ataachwa hivihivi, umkute yupoyupo tuuh..! Jipe muda utajua kilichomsibu mwanaume mwenzio akatimua mbio..!
Ndo hapo sasa...mwanamke mzuri kwaninu akimbiwe, huo ni mfupa uliomshinda fisi...
Mwanaume mwenzio akimbie alaf ww ujifanye kimbelembele...
 
ma single mother wengi wao wana msongo ndo maana hata umto..be usiku kucha yeye yumo tu, anakuwa ana hofu ya kuachwa, afu wana penda kuforce ukajitambulishe kwao haraka ili mradi tu aonekane amepata mume.

hupenda kutambulisha kila mwanaume yeyote anayeingia nae kwenye mahusiano hata kama ni kwa siku moja, kwa kifupi hawana raha.

wengi wao wamefikia hatua ya kuyumba kiuchumi kwa kuingia hata kwenye mikopo wawape wanaume na mwisho wa siku mwanaume anapita kushoto, ukimkuta baa atakununulia bia kumbe anajidanganya.

wana stress nyingi sana na hasira nyingi sana pale matarajio yao yanapokwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…