Pongezi kwenu Single Mothers
Pamoja na yote lakini kuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa inatakiwa Uwe jasiri sana!!....

Iko hivi

Wanaume tumeumbwa na kitu kinaitwa PRIDE....unapokuwa na mwanamke ambaye yuko kwenye himaya yako.....lakini kitendo cha wewe kujua kuwa huyu mwanamke alishalala na mwanaume mwengine mpaka kuzalishwa huku ukiwa unamuona mtoto....inakufanya ujione kama vile huna mamlaka kamili juu ya huyo mwanamke!!!.....

Ni kitu ambacho kitakutafuna mpaka unaingia kaburini......hii ni vita yako na nafsi yako.....ndio maana wazazi wengi na ndugu wa karibu huwa hawapendi kuona kijana wao wa kiume hasa ndoa yake ya kwanza akioa mwanamke ambaye tayari ana mtoto!!...wanajua baada ya mihemko na hisia za kimapenzi utakumbana na vita vikuu ndani ya nafsi yako!!!!....

Wanaume wengi wa ndoa za aina hii huwa wanaangukia kuwa walevi sana....au kuwa na wanawake wengi wa nje!!!!.....

Words is enough for the wise
Aseeee ingekuwa ivoo hawa watu wasingeolewa ujue...
 
Hizo sifa zifanye kuwa maswali ujijibu mwenyewe
1. Asingekuwa amezaa angekupenda kama ilivyo sasa au kacheza na fursa?
2. Anavojibidua kwenye ngono sasa hivi, angekuwa hajazaa bado nyonyo imesimama angekubidulia?
3. Mawazo anayokupa sasa hiv unayaona productive na unafanikiwa kweli, ingekuwa kipind hana mtoto angekupa uyafanyie kazi ama ni yeye anajiweka safe side zaidi kiuchumi?
4. Sikufundishi namna ya kuishi na mpenzio ila nikushauri tu, Usijimwage hivyo ukijiaminisha kuwa dunia ya mapenzi imeishia hapo.
Hayo maswali siwezi jiuliza siwezi badili mda na matokeo napambana na nilichokikutaa
 
Ni maji kwenda mbele[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na yote lakini kuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa inatakiwa Uwe jasiri sana!!....

Iko hivi

Wanaume tumeumbwa na kitu kinaitwa PRIDE....unapokuwa na mwanamke ambaye yuko kwenye himaya yako.....lakini kitendo cha wewe kujua kuwa huyu mwanamke alishalala na mwanaume mwengine mpaka kuzalishwa huku ukiwa unamuona mtoto....inakufanya ujione kama vile huna mamlaka kamili juu ya huyo mwanamke!!!.....

Ni kitu ambacho kitakutafuna mpaka unaingia kaburini......hii ni vita yako na nafsi yako.....ndio maana wazazi wengi na ndugu wa karibu huwa hawapendi kuona kijana wao wa kiume hasa ndoa yake ya kwanza akioa mwanamke ambaye tayari ana mtoto!!...wanajua baada ya mihemko na hisia za kimapenzi utakumbana na vita vikuu ndani ya nafsi yako!!!!....

Wanaume wengi wa ndoa za aina hii huwa wanaangukia kuwa walevi sana....au kuwa na wanawake wengi wa nje!!!!.....

Words is enough for the wise
Comments zikifika mwisho umalizie tena na comment hii ili awe anaisoma na kuikumbuka kila mara pengine ataelewa.
 
Hakuna mke mzuri ataachwa hivihivi, umkute yupoyupo tuuh..! Jipe muda utajua kilichomsibu mwanaume mwenzio akatimua mbio..!
Ndo hapo sasa...mwanamke mzuri kwaninu akimbiwe, huo ni mfupa uliomshinda fisi...
Mwanaume mwenzio akimbie alaf ww ujifanye kimbelembele...
 
ma single mother wengi wao wana msongo ndo maana hata umto..be usiku kucha yeye yumo tu, anakuwa ana hofu ya kuachwa, afu wana penda kuforce ukajitambulishe kwao haraka ili mradi tu aonekane amepata mume.

hupenda kutambulisha kila mwanaume yeyote anayeingia nae kwenye mahusiano hata kama ni kwa siku moja, kwa kifupi hawana raha.

wengi wao wamefikia hatua ya kuyumba kiuchumi kwa kuingia hata kwenye mikopo wawape wanaume na mwisho wa siku mwanaume anapita kushoto, ukimkuta baa atakununulia bia kumbe anajidanganya.

wana stress nyingi sana na hasira nyingi sana pale matarajio yao yanapokwama.
 
Back
Top Bottom