vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Wapo waliotelekezwa sio kama wanapenda. Ni sisi wanaume ndo tunawafanyia hivyo ni vigumu mwanamke kukubali kuishi alone na watoto kama mume yuko responsible.Mjane sio sawa na single maza.
Mwanamke yeyote aliyeweza anaweza kuwa mjane bila kupenda Ila kuwa single maza Ni uamuzi wa kupenda mwenyewe.!!
Ni vyema kuwasaidia sio mtu kuona amepata zari la mental .
Kuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.
Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae
hiki ni kigoezo cha kupokea namba Mkuu,umefanya vibaya sana kuikataa nambadada kaumbika masha Allah yaani ana mkia wa maana japo sura ya baba.
ndo binadam walivyo mkuu,iyo tunaita sitaki natakaKuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.
Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae
Wengi 99.9% hawapendi ila wakajikuta wamekuwa masingle mother kwa bahati mbaya sanaMjane sio sawa na single maza.
Mwanamke yeyote aliyeweza anaweza kuwa mjane bila kupenda Ila kuwa single maza Ni uamuzi wa kupenda mwenyewe.!!
Kwanini sio kipaumbele kwa kuwa mke wa kwanza?Hongera sana ndugu, in fact ni ubaya wa hali ya juu kuwanyanyasa wajane au wanawake walioachwa na wanaume zao.
Inapobidi haswa hawa ndio aina ya watu ambao tunatakiwa tuwape kipa umbele tunapotaka kuoa wake wa pili au wa tatu au wa nne.
Haujapoteza pale ambao umetoa kumsaidia mwengine.
Inaweza pia ikawa kipaumbele.Kwanini sio kipaumbele kwa kuwa mke wa kwanza?