Pongezi kwenu Single Mothers
Mjane sio sawa na single maza.
Mwanamke yeyote aliyeweza anaweza kuwa mjane bila kupenda Ila kuwa single maza Ni uamuzi wa kupenda mwenyewe.!!
Wapo waliotelekezwa sio kama wanapenda. Ni sisi wanaume ndo tunawafanyia hivyo ni vigumu mwanamke kukubali kuishi alone na watoto kama mume yuko responsible.
 
Kuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.

Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae
 
Unajitoa kusaidia watu wasiokuhusu kiasi hicho halafu hapo unakuta unadaiwa na TALA shilling 5000 na ni mwaka wa pili huu hujawalipa.

Hata hivyo hongera kwa kuwa generous.
 
Kuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.

Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae

Hahaha[emoji23][emoji23] bado una story na huyo mama na mtoto wake naye bado anakuja kwako?
 
Kuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.

Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae
ndo binadam walivyo mkuu,iyo tunaita sitaki nataka
 
Hongera sana ndugu, in fact ni ubaya wa hali ya juu kuwanyanyasa wajane au wanawake walioachwa na wanaume zao.

Inapobidi haswa hawa ndio aina ya watu ambao tunatakiwa tuwape kipa umbele tunapotaka kuoa wake wa pili au wa tatu au wa nne.

Haujapoteza pale ambao umetoa kumsaidia mwengine.
 
Inapendeza sana...

Wapo wenye mahitaji ya kweli na kweli wanahitaji msaada na kusaidiwa...

Na wapo wale wengine ambao ni wadanganyifu...

Cc: mahondaw
 
Mjane sio sawa na single maza.
Mwanamke yeyote aliyeweza anaweza kuwa mjane bila kupenda Ila kuwa single maza Ni uamuzi wa kupenda mwenyewe.!!
Wengi 99.9% hawapendi ila wakajikuta wamekuwa masingle mother kwa bahati mbaya sana
 
Hongera sana ndugu, in fact ni ubaya wa hali ya juu kuwanyanyasa wajane au wanawake walioachwa na wanaume zao.

Inapobidi haswa hawa ndio aina ya watu ambao tunatakiwa tuwape kipa umbele tunapotaka kuoa wake wa pili au wa tatu au wa nne.

Haujapoteza pale ambao umetoa kumsaidia mwengine.
Kwanini sio kipaumbele kwa kuwa mke wa kwanza?
 
Back
Top Bottom