Pongezi kwenu Single Mothers
Single mom what you doing out there?
Facing the hard life without no fear. Just see and know that you really care 'Cause any obstacle come you well prepared.

And no mamma you never shed tear
'Cause you haffi set things year after year. And you give the youth love beyond compare.

You find the school fee and the bus fare
Hmmmm more when paps disappear
In a wrong bar can't find him nowhere
Steadily you work flow, heavily you know so you nah stop

No time no time fi a jeer
 
Nasemaje ikome..
Kuzaa azae mwingine kukereka akereke mwingine inahusu?
Wameachana,wamekataliwa,wamepata mimba kwenye starehe,wamepata kwa mume wa mtu.its non of your business!
Unakuta mwanaume mzima na kende zako kubwa ka machungwa ya supermarket kutwa umekaa kumsimanga mwanamke kisa kazaa..ulitaka awe mgumba?

Kuzaa kazaa yeye,analea mwenyewe.anasomesha mwenyewe..ila we kutwa kuongea.kinachokukera nini has a?

Sikiliza nkwambie..mama ni msingi!
Msingi wa watoto na familia kwa ujumla.
Jiulize kwanini familia nyingi mama akifa familia inayumba sana na kusambarathata?mabalaa hayaishi.
Inakosa furaha na uchangamfu kama mwanzo?
Mama ni msingi.wa malezi mema,ulinzi,furaha,mafanikio,baraka nk.
Mama akikosekana watoto wanayumba

Kama msingi wako ulisimama mpaka Leo umekomaa jibaba zima.basi usitikise wa mwenzio tafadhali.yule kichanga ni binadamu mwenzio pia.malezi mema ulopitia nae anayahitaji.

Kama we unavyompenda mamako.nae ana upendo kwa mamake..
Kama unavyoombea mamako aishi umri mrefu Nae anatamani kuendelea kumuona.
Inashangaza mwanamke tangu ana mimba mpaka anajifungua ni maneno tu.masimango tu.mpaka wanakua frustrated, wana huzuni,wanaweza pata hata magonjwa ya moyo kama si kujikaza.

Kama unavyouheshimu msingi wako.uheshimu wa mwenzio,
Kama unavyoupenda wako,nae anaupenda wake.
Kama hupendi kuona wako ukitikiswa.tena ukiwa tayari umekomaa..usitikise wa mwenzako ambae bado hata hajakomaa na anauhitaji kwa asilimia kubwa kuliko wewe.

Nadhani nimeelewekaView attachment 1214001
Pole single mother !!. Msamehe tu endelea na maisha yako .
 
Kwahapa tumekusikia nasiamini kama yupohumu kama yupo kakusikia ,uliyemlenga sasa sijui kama kakusikia huko mtaani kwenu walikokukela
 
Back
Top Bottom