Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
nimegundua kwanini jamaa alikuzalisha alafu akakukimbia unakiburi sana chakujiona wewe ndo kila kituNasemaje ikome..
Kuzaa azae mwingine kukereka akereke mwingine inahusu?
Wameachana,wamekataliwa,wamepata mimba kwenye starehe,wamepata kwa mume wa mtu.its non of your business!
Unakuta mwanaume mzima na kende zako kubwa ka machungwa ya supermarket kutwa umekaa kumsimanga mwanamke kisa kazaa..ulitaka awe mgumba?
Kuzaa kazaa yeye,analea mwenyewe.anasomesha mwenyewe..ila we kutwa kuongea.kinachokukera nini has a?
Sikiliza nkwambie..mama ni msingi!
Msingi wa watoto na familia kwa ujumla.
Jiulize kwanini familia nyingi mama akifa familia inayumba sana na kusambarathata?mabalaa hayaishi.
Inakosa furaha na uchangamfu kama mwanzo?
Mama ni msingi.wa malezi mema,ulinzi,furaha,mafanikio,baraka nk.
Mama akikosekana watoto wanayumba
Kama msingi wako ulisimama mpaka Leo umekomaa jibaba zima.basi usitikise wa mwenzio tafadhali.yule kichanga ni binadamu mwenzio pia.malezi mema ulopitia nae anayahitaji.
Kama we unavyompenda mamako.nae ana upendo kwa mamake..
Kama unavyoombea mamako aishi umri mrefu Nae anatamani kuendelea kumuona.
Inashangaza mwanamke tangu ana mimba mpaka anajifungua ni maneno tu.masimango tu.mpaka wanakua frustrated, wana huzuni,wanaweza pata hata magonjwa ya moyo kama si kujikaza.
Kama unavyouheshimu msingi wako.uheshimu wa mwenzio,
Kama unavyoupenda wako,nae anaupenda wake.
Kama hupendi kuona wako ukitikiswa.tena ukiwa tayari umekomaa..usitikise wa mwenzako ambae bado hata hajakomaa na anauhitaji kwa asilimia kubwa kuliko wewe.
Nadhani nimeelewekaView attachment 1214001
Hii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
Pole single mother !!. Msamehe tu endelea na maisha yako .
Its enough kwakweliSauti imesikika vzuri nafikiriiii.wakihitaji tutaeka speaker
nimegundua kwanini jamaa alikuzalisha alafu akakukimbia unakiburi sana chakujiona wewe ndo kila kitu
Bro wewe hujawahi kuzini?
Hapo ulipo huenda una mademu si chini ya watatu na bado unanunua malaya.
Ila upo mstari wa mbele kabisa kuwasema dada zetu.
Tawire mama.
Kwahapa tumekusikia nasiamini kama yupohumu kama yupo kakusikia ,uliyemlenga sasa sijui kama kakusikia huko mtaani kwenu walikokukela
wao wenyewe wamekwambia hawapendi wanachofanyiwa?Hahaa dogo..jamaa gani alienizalisha?
Mi sijazaa bado.naongea kwa niaba yao
Sipendi wanachofanyiwa
Kwa hiyo unasapoti hii tabia?wao wenyewe wamekwambia hawapendi wanachofanyiwa?
Na kama umeanzisha uzi huu kisa haupendi wakisemwa kwa nini na sisi tusianzishe uzi kwa tusichokipenda ambacho ni nyie singo maza?
Hii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
nasupport kuwasema hapa jukwaani ilikukemea huu ujinga wa kuasingle maza ..wewe mtu hajakuoa unazaanae watu wamaana wenye nia ya kuoa unawakataa alafu ukikimbiwa ukaachiwa mtoto unalialia.Kwa hiyo unasapoti hii tabia?