Pongezi kwenu Single Mothers
Single mother 70% nizao la wanaume wazembe,wavivu,waoga,wanapenda sana NGONO lakini wanaogopa MAJUKUMU.

30% ni wao wenyewe wanawake wanajitakia.

Kwa kifupi tatizo la single mother linatokana na kizazi cha vijana wakiume wasiopenda kuwajibika,lakini ni mabingwa wa kufanya ngono.
Ni kweli.hilo kundi la kwanza ndo wahanga wakuu.wanapata wakati mgumu sana.

Na pia hata kama kaendekeza ngono.its OK..umegundua baada ya yeye kuzaa mimba ndo imekua proof ya kumsimanga.

Muachieni Mungu ahukumu.wanaume wazinzi sana ila bahati Hanna proof.na mimba mnazikimbia.
 
Kabla mpira haujaanza team moja tayari imepewa goal. FIFA Tunaomba Muangalie Kama Kuna Fair Play Hapa
 
Bado hatujasikia. Kinachofanyika hapa ni kuhalalisha kitu ambacho si sahihi kuwa sahihi.
Single mother ambao hawapaswi kusemwa ni wajane na wale ambao ndoa zimevunjika/wametengana kwa sababu moja au nyingine.
Ila danga kuwa single mother lazima tuwaseme tu.
Mkiwa mnawasema msiwaache wanaume walowapachika..maana kama umalaya wameshirirki kwa pamoja
 
Nasemaje ikome..
Kuzaa azae mwingine kukereka akereke mwingine inahusu?
Wameachana,wamekataliwa,wamepata mimba kwenye starehe,wamepata kwa mume wa mtu.its non of your business!
Unakuta mwanaume mzima na kende zako kubwa ka machungwa ya supermarket kutwa umekaa kumsimanga mwanamke kisa kazaa..ulitaka awe mgumba?

Kuzaa kazaa yeye,analea mwenyewe.anasomesha mwenyewe..ila we kutwa kuongea.kinachokukera nini has a?

Sikiliza nkwambie..mama ni msingi!
Msingi wa watoto na familia kwa ujumla.
Jiulize kwanini familia nyingi mama akifa familia inayumba sana na kusambarathata?mabalaa hayaishi.
Inakosa furaha na uchangamfu kama mwanzo?
Mama ni msingi.wa malezi mema,ulinzi,furaha,mafanikio,baraka nk.
Mama akikosekana watoto wanayumba

Kama msingi wako ulisimama mpaka Leo umekomaa jibaba zima.basi usitikise wa mwenzio tafadhali.yule kichanga ni binadamu mwenzio pia.malezi mema ulopitia nae anayahitaji.

Kama we unavyompenda mamako.nae ana upendo kwa mamake..
Kama unavyoombea mamako aishi umri mrefu Nae anatamani kuendelea kumuona.
Inashangaza mwanamke tangu ana mimba mpaka anajifungua ni maneno tu.masimango tu.mpaka wanakua frustrated, wana huzuni,wanaweza pata hata magonjwa ya moyo kama si kujikaza.

Kama unavyouheshimu msingi wako.uheshimu wa mwenzio,
Kama unavyoupenda wako,nae anaupenda wake.
Kama hupendi kuona wako ukitikiswa.tena ukiwa tayari umekomaa..usitikise wa mwenzako ambae bado hata hajakomaa na anauhitaji kwa asilimia kubwa kuliko wewe.

Nadhani nimeelewekaView attachment 1214001
Sawa Single Mama
 
Ni kweli.hilo kundi la kwanza ndo wahanga wakuu.wanapata wakati mgumu sana.
Na pia hata kama kaendekeza ngono.its OK..umegundua baada ya yeye kuzaa.mimba ndo imekua proof ya kumsimanga.
Muachieni Mungu ahukumu.wanaume wazinzi sana ila bahati Hanna proof.na mimba mnazikimbia.
Ubebe mimba uliolewa?
 
Unakubali vipi kummwagia mbegu zako mwanamke ilhali hujamuoa na wala huna mpango wa kumuoa?
Condm hamzijui?

Mwanaume pia anawajibika katika kupanga uzazi,ana maamuzi pia mimba au isitunge kulinda uzao wake kwa mtu sahihi mbegu zake

Issue sio mwanaume kukataa utakubali vipi kubeba mimba wakati haujaolewa. Sijui umenisoma?
 
Nasemaje ikome..
Kuzaa azae mwingine kukereka akereke mwingine inahusu?
Wameachana,wamekataliwa,wamepata mimba kwenye starehe,wamepata kwa mume wa mtu.its non of your business!
Unakuta mwanaume mzima na kende zako kubwa ka machungwa ya supermarket kutwa umekaa kumsimanga mwanamke kisa kazaa..ulitaka awe mgumba?

Kuzaa kazaa yeye,analea mwenyewe.anasomesha mwenyewe..ila we kutwa kuongea.kinachokukera nini has a?

Sikiliza nkwambie..mama ni msingi!
Msingi wa watoto na familia kwa ujumla.
Jiulize kwanini familia nyingi mama akifa familia inayumba sana na kusambarathata?mabalaa hayaishi.
Inakosa furaha na uchangamfu kama mwanzo?
Mama ni msingi.wa malezi mema,ulinzi,furaha,mafanikio,baraka nk.
Mama akikosekana watoto wanayumba

Kama msingi wako ulisimama mpaka Leo umekomaa jibaba zima.basi usitikise wa mwenzio tafadhali.yule kichanga ni binadamu mwenzio pia.malezi mema ulopitia nae anayahitaji.

Kama we unavyompenda mamako.nae ana upendo kwa mamake..
Kama unavyoombea mamako aishi umri mrefu Nae anatamani kuendelea kumuona.
Inashangaza mwanamke tangu ana mimba mpaka anajifungua ni maneno tu.masimango tu.mpaka wanakua frustrated, wana huzuni,wanaweza pata hata magonjwa ya moyo kama si kujikaza.

Kama unavyouheshimu msingi wako.uheshimu wa mwenzio,
Kama unavyoupenda wako,nae anaupenda wake.
Kama hupendi kuona wako ukitikiswa.tena ukiwa tayari umekomaa..usitikise wa mwenzako ambae bado hata hajakomaa na anauhitaji kwa asilimia kubwa kuliko wewe.

Nadhani nimeelewekaView attachment 1214001
Umesikika kunako alafu utakuta anaesema hivyo bado yupo kwao toka enzi za story ya utamu wa mua uliozamisha meli
 
tatizo wanaongea sana unakuta mtu kazaa kwa mapenzi yake anamaliza anakuja anaanza kurusha maneno yasiyo na maana mara wanaume siku hizi wamepungua mara hawawatunzi watoto wao na huku ni mpuuzi mwenzio huko mmefanya ya kuyafanya sasa unaanza kumalizia hasira kwa wengine.

Ni week jana tuu kuna mwingine alikua anatokwa povu humu humu jf anasema nanukuu'' hata kama ukiniacha ntapata mwanaume atanioa na kunibembeleza'' sasa wewe unaemuambia ni nani halafu kama mmeachana kaa tulia sio unaanza kutoa matambara kwa watu,..na wewe kama ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni single mother ...halafu kiti kingine muwe mnajiandaa kwa yajayo sio unavulishwa chupi unjisahau.

mwisho wengi wenu sio waaminifu japo kuwa sio wote na ndio maana sio kwamba tunawaesngenya ila tunawaasa watu wanaoingia kwenye mahusiano ili baadaye asije kulaumu..ni kuelimishana..mwisho
 
Pole mwaya.mi bado sijazaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Umechamba kwelikweli
tatizo wanaongea sana unakuta mtu kazaa kwa mapenzi yake anamaliza anakuja anaanza kurusha maneno yasiyo na maana mara wanaume siku hizi wamepunua ni week jana tuu kuna mwingine alikua anatokwa povu anasema nanukuu'' hata kama ukiniacha ntapata mwanaume atanioa na kunibembeleza'' sasa wewe unamuambia ni nani halafu kama mmeachana kaa tulia sio unaanza kutoa matambara kwa watu,..na wewe kama ungekaa kimya hakua ambaye angejua wewe ni singke mother ...halafu kiti kingine muwe mnajiandaa kwa yajayo sio unavulishwa chupi unjisahau...mwisho wengi wenu sio waaminifu japo kuwa sio wote na ndio maana sio kwamba tunawaesngenya ila tunawaasa watu wanaoingia kwenye mahusiano ili baadaye asije kulaumu..ni kuelimishana
 
Back
Top Bottom