Kuna dada mmoja ana mtoto tunaishi jirani sasa mwanae anapenda sn kuja kucheza kwangu siku moja kaja tulikuwa tunatoka mwanangu akaniomba twende nae nikaona fresh wakaenda kuaga kwao tukaondoka ktk mizunguko nikanunua viatu kwa mwanangu na huyo dogo alipoenda navyo kwao mama yake akamwambia arudishe.
Wamama wengine ni visirani sana nilimfuata nikamweleza kama alikuwa na tatizo namm kununua viatu tena vya kuchezea mpira kwa mwanae angekuja kunieleza sio kumwambia mtoto na kwann alimruhusu twende nae kama alikuwa hataki nifanye ukarimu kwa mwanae