Msihofu, hizo dharau za singlemoms ziko hapa tu JF na sio uhalisia wa mtaaniSingle mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.
Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.
Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.
Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu
Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Na huu ndo ukweliMsihofu, hizo dharau za singlemoms ziko hapa tu JF na sio uhalisia wa mtaani
Exactly. Binafsi Nilishaomba msamaha kwa Mungu kwa mimba nilizosababisha na kuzichoropoa.

Ha ha ha...kuna mdada humu anaponda single mom. Yeye anakaribia 30+ hajaolewa.mtu anaponda single mom na bado hajaoa [emoji1787][emoji1787] siku anaoa anaoa single mom
Kuna jamaa humu aliomba msamaha alikuwa anaponda single mom m I
Kumbe ww ni single mom?Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.
Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.
Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.
Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu
Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Kumbe ww ni single mom?
Ha ha ha...kuna mdada humu anaponda single mom. Yeye anakaribia 30+ hajaolewa.
Hawana hela wanamalizia stress JfSingle mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.
Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.
Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.
Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu
Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Mmmh kwa fegi hiyo hapo kwa avatar lazima tuogope[emoji3][emoji3] jokes tuSingle mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.
Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.
Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.
Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu
Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Mmmh kwa fegi hiyo hapo kwa avatar lazima tuogope[emoji3][emoji3] jokes tu
Hawana hela wanamalizia stress Jf
ukiona mwanaume anaongea ongea sana jua tu hana hela or ni kibamia
Ha ha ha ha....nikipata ile ID yake naileta hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamen kila mtu ashinde mechi zake
Exactly. Binafsi Nilishaomba msamaha kwa Mungu kwa mimba nilizosababisha na kuzichoropoa.
Mungu akisamehe anasamehe akifuta anafuta...hakumbuki tena.Nna usamehewe ujue watoto wenu wanawasubiria huko juu
Hio ni zaidi ya u single mamndio Ivuga nna watoto wanne kila mmoja na baba ake
Sijakuelewa kidogoMlipaswa mulijuwe hilo zamani tu ila niseme bado hamjachelewa.
Nimefurahia uzi wako mana kikawaida huwa sipendi watu wenye tabia ya kuwadharau wanawake.