Pongezi kwenu Single Mothers
Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.

Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.

Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.

Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu

Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Msihofu, hizo dharau za singlemoms ziko hapa tu JF na sio uhalisia wa mtaani
 
Exactly. Binafsi Nilishaomba msamaha kwa Mungu kwa mimba nilizosababisha na kuzichoropoa.

mtu anaponda single mom na bado hajaoa 🤣🤣 siku anaoa anaoa single mom
Kuna jamaa humu aliomba msamaha alikuwa anaponda single mom m I
 
Exactly. Binafsi Nilishaomba msamaha kwa Mungu kwa mimba nilizosababisha na kuzichoropoa.

mtu anaponda single mom na bado hajaoa 🤣🤣 siku anaoa anaoa single mom
Kuna jamaa humu aliomba msamaha alikuwa anaponda single mom mara akaoa alokuwa akiponda
 
Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.

Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.

Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.

Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu

Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Kumbe ww ni single mom?
 
Hawana hela wanamalizia stress Jf

ukiona mwanaume anaongea ongea sana jua tu hana hela or ni kibamia
 
Single mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.

Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.

Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.

Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu

Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi
Mmmh kwa fegi hiyo hapo kwa avatar lazima tuogope[emoji3][emoji3] jokes tu
 
Back
Top Bottom