screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Msihofu, hizo dharau za singlemoms ziko hapa tu JF na sio uhalisia wa mtaaniSingle mom tuna Upendo hatuwezi kuua ndio maana tulibeba mimba tukazaa na tukalea.
Na wengi wao wanaoponda single mom unakuta hajalelewa na Baba yake mzazi palipo single mom jua kuna single father.
Nimeshuhudia wadada wengi wakitoa ujauzito bila huruma so kwa niaba ya single mom wala msione Haya wala kujisikia vibaya walochomoa ni mama wa marehemu sisi wa kwetu wapo hai.
Single mom kuolewa wanaolewa sana Na tunapendwa sana tu
Wanaotusema vibaya ni wapumbavu hawajiewi