Hakuna watu wa hovyo kama boda boda.[emoji3] Kwan bodaboda sio watu? Mbn unadharau kaz za watu ww kuna wana wanalisha familia zao kupitia iyo kaz ya boda boda
Wanaume tunatofautiana, single mothers are good for the average guys, not for the guys who have always been on the trenches paving their way up to the top.Nina evidence na watu kibao waliooa single mother na ni vijana ambao wao hawana watoto!!!
Inategemea hao ndugu zako wanajiwekaje,lakini Pia Mtazamo wako sio wa mtu Mwingine!! Kuna mambo mengine akili Yako na maamuzi Yako yatashindwa but si kwa Wengine!!
Siwashauri kuzaa,but watu wanaolewa wakiwa hata na watoto kibao
Kama yeye anavyopasha kiporo.Huu ni ukweli kabisa. Hawatafuti masingle father wakijua kabisa single father ataenda kupasha kiporo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kwel bhn wapo watu wenye heshim zaoHakuna watu wa hovyo kama boda boda.
Haijalishi umri.
Kwanza kuoa single maza ni kutokujipenda. Wanawake wamejaa kibao wee ukachukue single maza kweli? Kwanza unaanzaje kumtambulisha kwa wazazi wako na wakakuelewa?Ili mradi hukubakwa, its totally your fault. Wazazi wako walijitahidi, ukawavubja moyo, usije ukamchulia baba kisa alikutosa, ni makosa ysko, at 17 wewe sio mtoto.
Kuoa single mother ni kujivalisha bomu, matatizo yapo lakini unazidi kuyaongeza, atawasiliana na baba watoto, atawatembelea watoto, malezi na makuzi ya watoto...hapa ndipo shida ilipo, ATACHAPWAA..ni swala la mda tu.
Aisee mbona mnatukosea heshima nyie watu au kisa tunagegea wake za watu na vitoto vya form four B?Hakuna watu wa hovyo kama boda boda.
Haijalishi umri.
Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.Kwanza kuoa single maza ni kutokujipenda. Wanawake wamejaa kibao wee ukachukue single maza kweli? Kwanza unaanzaje kumtambulisha kwa wazazi wako na wakakuelewa?
Kuzaa au kutozaa ni uamuzi wa mwanamke. Kama mwanamke kaamua kuzaa bila kunishirikisha hilo no tatizo lake.Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
🤣🤣🤣🤣 Sii ujinga wao wenyewe kuzalishwa maana wengi wao walishika mimba pasipo kuombwa na mwanaume. Wee wacha sie rufe mapema tuu lakini ujinga wa kumpeleka single maza kwa wazazi hapana aisee.Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
Huu ni ujinga wa hali ya juu,hakuna Mwanaume timamu ataoa Single mothers,,,labda uyo Mwanaume awe feminizedHiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio? Ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.Kuzaa au kutozaa ni uamuzi wa mwanamke. Kama mwanamke kaamua kuzaa bila kunishirikisha hilo no tatizo lake. Mwenye mzunguko sio mwanaume, kama hutaki kuzaa usikutane na mwanaume siku za kuchevusha yai, utapata mimba na kidume atakukimbia.
Ila wanatakiwa wakuoe wewe sio?Huu ni ujinga wa hali ya juu,hakuna Mwanaume timamu ataoa Single mothers,,,labda uyo Mwanaume awe feminized
Watalea wapumbavu wenzio hakuna, Mwanaume timamu atalea mtoto wa Mwanaume mwenzie[emoji706][emoji706]So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio?ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.
Ngoja nikuache tu na mawazo yakoWatalea wapumbavu wenzio hakuna, Mwanaume timamu atalea mtoto wa Mwanaume mwenzie[emoji706][emoji706]
Tena utulie tu [emoji2]Ngoja nikuache tu na mawazo yako
Sio kila single mom kapata kwa kutaka, wengine ndoa zimeshindwa wakaachana, wengine wamefiwa na wengine ndio hivyo tena. Sina shida na mtu kuwa single, kila mtu anaweza kuwa single parent mda wowote tu coz maisha yana mengi sana.So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio?ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.