Pongezi kwenu Single Mothers
Nina evidence na watu kibao waliooa single mother na ni vijana ambao wao hawana watoto!!!
Inategemea hao ndugu zako wanajiwekaje,lakini Pia Mtazamo wako sio wa mtu Mwingine!! Kuna mambo mengine akili Yako na maamuzi Yako yatashindwa but si kwa Wengine!!
Siwashauri kuzaa,but watu wanaolewa wakiwa hata na watoto kibao
Wanaume tunatofautiana, single mothers are good for the average guys, not for the guys who have always been on the trenches paving their way up to the top.
 
Ili mradi hukubakwa, its totally your fault. Wazazi wako walijitahidi, ukawavubja moyo, usije ukamchulia baba kisa alikutosa, ni makosa ysko, at 17 wewe sio mtoto.

Kuoa single mother ni kujivalisha bomu, matatizo yapo lakini unazidi kuyaongeza, atawasiliana na baba watoto, atawatembelea watoto, malezi na makuzi ya watoto...hapa ndipo shida ilipo, ATACHAPWAA..ni swala la mda tu.
 
Huwajui single mothers,umeandika usichokifaham [emoji706]
 
Ili mradi hukubakwa, its totally your fault. Wazazi wako walijitahidi, ukawavubja moyo, usije ukamchulia baba kisa alikutosa, ni makosa ysko, at 17 wewe sio mtoto.

Kuoa single mother ni kujivalisha bomu, matatizo yapo lakini unazidi kuyaongeza, atawasiliana na baba watoto, atawatembelea watoto, malezi na makuzi ya watoto...hapa ndipo shida ilipo, ATACHAPWAA..ni swala la mda tu.
Kwanza kuoa single maza ni kutokujipenda. Wanawake wamejaa kibao wee ukachukue single maza kweli? Kwanza unaanzaje kumtambulisha kwa wazazi wako na wakakuelewa?
 
Kwanza kuoa single maza ni kutokujipenda. Wanawake wamejaa kibao wee ukachukue single maza kweli? Kwanza unaanzaje kumtambulisha kwa wazazi wako na wakakuelewa?
Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
 
Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
Kuzaa au kutozaa ni uamuzi wa mwanamke. Kama mwanamke kaamua kuzaa bila kunishirikisha hilo no tatizo lake.

Mwenye mzunguko sio mwanaume, kama hutaki kuzaa usikutane na mwanaume siku za kuchevusha yai, utapata mimba na kidume atakukimbia.
 
Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
🤣🤣🤣🤣 Sii ujinga wao wenyewe kuzalishwa maana wengi wao walishika mimba pasipo kuombwa na mwanaume. Wee wacha sie rufe mapema tuu lakini ujinga wa kumpeleka single maza kwa wazazi hapana aisee.

Ata wewe siku mtoto wako aje atambulishe single maza hutafurahi kabisa. Tusidanganyane hapa.
 
Hiyo kasumba ndo inawaua mapema huku wengi wenu mkijaa wodi za vichaa,wanaume wengi mmewazalisha wanawake na kuwaacha kisha unakuja huku unataka wasiolewe,mtaachaje kufa haraka kwa roho mbaya.
Huu ni ujinga wa hali ya juu,hakuna Mwanaume timamu ataoa Single mothers,,,labda uyo Mwanaume awe feminized
 
Kuzaa au kutozaa ni uamuzi wa mwanamke. Kama mwanamke kaamua kuzaa bila kunishirikisha hilo no tatizo lake. Mwenye mzunguko sio mwanaume, kama hutaki kuzaa usikutane na mwanaume siku za kuchevusha yai, utapata mimba na kidume atakukimbia.
So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio? Ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.
 
So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio?ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.
Watalea wapumbavu wenzio hakuna, Mwanaume timamu atalea mtoto wa Mwanaume mwenzie[emoji706][emoji706]
 
So unadhani kila mwanamke aliyebeba mimba kajibebesha sio?ukikimbia wenzio wanalea kisha unabaki na upumbavu wako.
Sio kila single mom kapata kwa kutaka, wengine ndoa zimeshindwa wakaachana, wengine wamefiwa na wengine ndio hivyo tena. Sina shida na mtu kuwa single, kila mtu anaweza kuwa single parent mda wowote tu coz maisha yana mengi sana.

Ila nasema tu mostly mwanamle ndio anajua lini yupo safe na lini yupo danger, uchaguzi ni wake.
 
Back
Top Bottom