Hii ndio hali halisi, 😂😂😂ni heri kuwa na single mother kuliko aliyechoropoa mimba 🙏
 
Hii ndio hali halisi, 😂😂😂ni heri kuwa na single mother kuliko aliyechoropoa mimba 🙏
🤣🤣🤣🤣🤣 sijui tuseme ufunge uzi au tuzidi kuchambua hili suala.

Case ya 2, kwa mfano binti yako huyo huyo, akiwa katika harakati za kufata maji kutokana na hali ya maji kukatika ilivo changamoto, wakati anarudi akabakwa na njemba kama 4, je utamshauri pia azae au aitoe hyo mimba? (Kaa ukijua medically its allowed kumfanyia abortion mtu aliepata ujau,ito due to rape)
 
Azae tu 😂😂😂labda kuabort for medical reasons
 
Sijampata mwanadada anayetetea watoaji wa Mimba inamaanisha humu JF Hakuna watu wanatumia morning after 💊pills?

Hakuna watu wanaounga mkono abortion?
 
Sijampata mwanadada anayetetea watoaji wa Mimba inamaanisha humu JF Hakuna watu wanatumia morning after [emoji381]pills?

Hakuna watu wanaounga mkono abortion?
Badoo tu umo? [emoji2957][emoji2957]

Mpaka uzi wako umeunganishwa hahaha
 
Mchuano ni mkali sana mpaka extra time matokeo ni 0-0

At some point wanawake wanapata kile wanachokitafuta wakati sisi wanaume tunafuatwa na matatizo wenzetu jinsia ke wanayatafuta matatizo. How unapatana na Mwanaume anakuonyesha kabisa kuwa yupo kwako sababu ya enjoyment ghafla bin vuu unabeba mimba huo ni msalaba wako jikaze tu kufika nao Goligota au omba sana atokee wakukusaidia.

Na Mimi naungana na waliosema single mothers anayetakiwa kuolewa ni yule mwenye pesa au maajabu kama wewe ni Mediocre single mother pambana maana hardworking pay.

Nawasilisha hoja kutokea jukwaa la kula tunda kimasihara Kona ya maJobless.
 
Mademu wa humu wanaotafuta wanaume wengi wao ni matapeli haswaa, wamechoka kiuchumi & wana njaa kali!

Mtu hamjuani unaanza kuomba pesa ya kula ( mi babaako?) Masingo maza wengi wana roho mbaya sana na wamejaa nuksi na mikosi kijana unaesoma huu uzi jitathmini kwanza usikurupuke dunia hii hakuna cha bure.

Kwa uzoef wangu humu ktk sekta hii ya utaftaji na usakataji wa mbususu nimebahatika kuonja na zengine ziliishia kutoweka baada ya kunichuna!

Baadhi ya visa nlivokutana navo ni pamoja na
-moja ilikua na pumu mazee af haikunambia nusura ikate pumzi
-Kila siku ni shida (vizinga haviishi) mara mtoto anaumwa, mara mtoto vile mpaka najiuliza mi babaake?

-nyingine niliichakata af nikasepa mazima nikaiacha gest house bila malipo (Mungu anisamehe sana)

-nyengine ilikua inanuka uvundo flani iv kama ng'onda ilokufa
-nyingine body iko fresh lakini sasa ndani ni pwa pwa pwaaa..twa twa twaaa,

Masingle mama wengi wapo kwaajili ya kipato (uchunaji) unafanywa punda wa kulea litoto lisilo lako,shtuka zumbukuku unachunwa na mtoto akikua hakutambui na hatambui mchango wako,mshahara wako ni mbususu ya mama ake.

Ukijaribu kumuonya mtoto utasikia kwa vile sio mwanao ndo mana wamfokea!
Jiulize swali moja ikawaje mwanaume mwenzako kashindwa na kukimbia,ww n nan mpaka uweze?

Wengi wa masingo maza wanatuachia mikosi na laana tu hakuna jipya!
Nawakilisha.
 
Umetema nyongo na wa kuelewa na aelewe wakaidi itabidi wapigwe tu maana hamna namna
 
Ni mikosi kuoa single maza Mimi nilimwongezea mtoto mwingine nikampora mwanangu nikapita hivi
 
Kuna single maza moja toka mkoani arusha yuko na kid mmoja lkn ilikuwaje hakuwa tena na baba mtoto wake? Yule jamaa alikuwa na mke Tayari kumbe na familia yake yupo nayo,

Mda mrefu sasa kumbe demu alikuwa ajui hadi siku jamaa alipokuja kuoa yule mke wake ndo demu akasanuka ikabidi binti achukue mtt wake amlete kwa bibi ila demu ni askari yani kuhusu mtonyo sio ttzo sana demu alifuta nmba ya jamaa, hawana tena ukaribu,na demu alimkataa mshikaji mbele ya familia yao.
 
Mbali hivyo unataka niwehuke!! Nitake radhi.
2016 Mbali hivyoo! Saizi tupo 2022 tukiitoboa kuelekea 2023… siku hazigandi mrembo… Cillah sijui hata kama upo hai lakini maaana kuanzia 2019 hapo kuna kawimbi kalisafisha wapendwa wetu kwa spidi ya Internet…
 
Bora nioe mtoa mimba kuliko single maza. Mungu anasamehe...so atatubu basi maisha yanaendelea lakini sio kuishi na single maza nalea bao na mwanaume mwezangu
 
Sijampata mwanadada anayetetea watoaji wa Mimba inamaanisha humu JF Hakuna watu wanatumia morning after 💊pills?

Hakuna watu wanaounga mkono abortion?
Bongo wanafiki wengi tuu mzeya
 
Dear sisters, Kwa wote ambao ni single mothers napenda kuwatia moyo na kuwaombea mpate mafanikio zaidi na zaidi, Mungu ni wetu sote na sisi sote tu wakosaji katika namna moja au nyingine.

Mungu awajalie riziki mpate pesa za chakula, Usafiri, Kodi za Nyumba, ada za watoto, mjenge, muendeshe magari na mpendeze.

Awaye yeyote mapito yake si ya bahati mbaya yote hupangwa kama mitihani yetu sisi wanadamu.

Bila ninyi hamna taifa, taifa ni watu na watu ndio hao watoto mnaotuzalia.
Usiogope na usipate huzuni yoyote nguvu ya kuleta kiumbe huleta amani na ulinzi katika makazi yetu na hukufanya uishi makusudi ya Mungu.

Mimi si mwandishi mzuri itoshe kusema nawapenda sana sana na Mungu awajalie riziki kila Panapo kucha.

Inshallah mbarikiwe sana
Amen!💋💋💋
 
Kwani kuna alio kwambia kwamba wana shida au najutia chochote kwamba wanataka uwatie mwoyo? Au kiherehere chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…