Hongera mbususu imejileta yenyewe free of charge,free from tanesco,no tax ushindwe wewe tu.
Hakikaaaa na Kwa namna ilivyozidi kutakata , huyu hata maji yake alofulia Chupi naweza kuyanywa tu

Mweeeeee, Pesa sabuni ya Roho , alafu wakat natoka, nilivaa kiuni kabisa, Jinsi, T-shirt, raba , Jacket , yaan nilikua nmevaa kihuni huni

Ila kanichangamkia vizuriiii
 
Reactions: Sax
Hilo jina la tukutuku umenikumbusha mbali sana
 
Uko sahihi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaenda kua marioo Sasa
 
Kijana, tuliza mchecheto. Kijana sikiliza tukwambie makosa tuliyofanya na ujifunze. Kijana sumu haionjwi! Usioe, Usioe, Usioe SINGO MAZA! Unataka kujua kwanini?
1. Emotional Gabbage: Wengi wao wameumizwa sana na kihisia hawapo sawa. Wewe sio Mwokozi, okoa nafsi yako dhidi ya maumivu ya kihisia na kimwili!

2. Priorities: Kaa ukifahamu kuwa utakuwa namba 3 baada ya Mwanae na Baba wa Mtoto. Hutoweza kumfunza mtoto maadili mema bila mama yake kuona kuwa unamtesa!

3. Bonding: Ni ngumu sana SINGO MAZA kuwa nawe kihisia tofauti na malisafi ambayo haijatumika. Baba Mtoto anaweza pasha kiporo muda wowote.

4. Lack of Self Control: Kama ameshindwa kusubiri ndoa ndio afanye maamuzi magumu ya kuleta kiumbe duniani, ni dhahiri atashindwa kujizuia kwenye mambo mengi yanayohitaji nidhamu. Wengi wao ni wanywaji, wavivu, n.k

5. Respect : Utahudumia kiumbe kisicho chako kwa gharama kubwa, mwishowe utakuwa huna thamani sawa na baba yake. Wekeza nguvu zako kwa damu yako.

Sikiliza Kijana! Singo Maza ni kama shamba lenye mgogoro, Jiepushe nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…