Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
🤣🤣🤣 Ni life tuWewe jamaa ni faller tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Ni life tuWewe jamaa ni faller tu
Hakikaaaa na Kwa namna ilivyozidi kutakata , huyu hata maji yake alofulia Chupi naweza kuyanywa tuHongera mbususu imejileta yenyewe free of charge,free from tanesco,no tax ushindwe wewe tu.
Minister of Water and IrrigationHivi kumbe ule Uzi, mlikua mnasoma kimya kimya tu🤣🤣🤣
Dunia inamambi hii!!!
Dah!,ila jf huwa mna majibu mabayaAu single mother mwenyewe ni wewe umekuja hapa kuleta promo ya masingle mother wenzako???
Nimeambiwa, hakikisha hamna shughuli za kilimo pembezin mwa mto rufiji🤣Minister of Water and Irrigation
JF utaiweza Mkuu.... Humu Kuna stress zakufa mtu !!Dah!,ila jf huwa mna majibu mabaya
Bila shaka umelelewa na singo maza
Kwa stahili hiii ni mwaka .Bwawa la Nyerere litajazwa mma kwa miaka miwili...
Hilo jina la tukutuku umenikumbusha mbali sanaEbwanaa eehh mida ya Saa Moja jion ya Leo, nlitoka Mara Moja kununua mahitaji. Basi nikafika Kwa duka fulani nikapaki Pikipiki huyo nikazama.
Wakati nanunua mahitaji, akaingia bidada Mmoja ambaye nilipokuona, kwanza nikashtuka, ni yeye au? Bidada amenonaa, ametakata kwelikweli, Kazidi kua mzuriii kwelikweli na ule weupe wake basi na Rastaa zake hahahahah!
Ipo hivi mwaka 2020 nikiwa Wilaya fulan kikazi, ndioo nilijuana na huyu Mwanamke, akiwa singo mama wa watoto wawili, aliyeachwa na mmewe wa ndoa. Basi bidada wa watu akiwa anapambana kwanza yeye mwenyewe ale, avae aishi, bado Kuna watoto.
Tukawa wapenzi banaaa, tukawa tunasaidiana saidiana hivyo kimtindo Maisha yanasonga. (bibi storia yake na mumewe aliwahi nisimulia ,mpaka nikamuonea huruma , alikua halali bila kumeza dawa zakusaidia usingizi, sababu ya mawazo)
Basi Maisha yakaenda, baadae nikahama huo Mkoa kabisaa. Hivo yakabaki Mawasiliano tuuu yahapa napale na baadae Mawasiliano yakakata, alikua hapatikani.
Hatimaye leo nimekutana naye, ananiambia G, Mimi nipo Mkoa huu huu Sasa twende uone ofisi yangu.
Kabla sijalipia, tayari anamuuliza muuzaji, vinagharimu ngapi? Basi akachukua navyake, akalipia vyoteee tukasepa.
Nyieee, ana Toyota Raum, basi ikabidi kapikipiki kangu nikaache hapo kwanza. Nafika kwenye Ofisi yake, aiseee bonge la duka la mavazi yaani Si Viatu, Si Nguo kuanzia za vichanga mpaka wakubwa, nguo za Kila aina, kubwaaaa kubwaaaaaa kaunganisha frame 3.
Niliwishiwa pozi, nimebaki kumpongeza tu, hongera banaa, hongera Sanaa, Mungu kakupiganiaaa, Hongeraaa sanaaa n.k .
Ananiambia G Sasa ninafanya ujenzi wa Nyumba yangu. Nikamuuliza, imekuaje kuaje? umeinuka hivi. Ndo ananiambia kua waliamuaga kuuza shamba waloachiwa na baba yao, wakagawana ,yeye akapewa Milioni 6 .
Ndio hapo akainukiaa, Bidada naniambia Kwa Sasa mizigo yake anafata Kenya, Uganda, na Dar Kwa mbali. Hakika Maisha yasikie. Imebidi nimchombeze masikion kumpima kama bado ananielewa "Vipi hiyo kitu bado inahamu namimi?”
Akacheka kama falaaaaa huku ananiambia, hujaaachaga tuu mambo yako, usijaliiiii lakini kua na amani.
Nikahisi ananitania, nikamuuliza tena, "nitaipataata???".
Akajibu eeehh maadam tumeonana leo, Mawasiliano yapo, nitakupea tu!
Daaahh akanisindikiza mpaka pale nilipoacha tukutuku, nikasepa.
Aiseee kama mnaachana namtu au mnapotezana, usimwache Kwa matusi, vipigo, kejeli au dharau!
Maisha yanabadilika sana!
🤣🤣🤣 Umenichekesha kisenge ,Et lilinde jicho lakoUtapigwa pipe kijana kua makini!!
Hapo kuna linjemba linamhudumia, wewe unaona kapendeza udenda unakutoka!! Kalaghabaho lilinde jicho lako..
Shea nasi mkuuHilo jina la tukutuku umenikumbusha mbali sana
Uko sahihiEbwanaa eehh mida ya Saa Moja jion ya Leo, nlitoka Mara Moja kununua mahitaji. Basi nikafika Kwa duka fulani nikapaki Pikipiki huyo nikazama.
Wakati nanunua mahitaji, akaingia bidada Mmoja ambaye nilipokuona, kwanza nikashtuka, ni yeye au? Bidada amenonaa, ametakata kwelikweli, Kazidi kua mzuriii kwelikweli na ule weupe wake basi na Rastaa zake hahahahah!
Ipo hivi mwaka 2020 nikiwa Wilaya fulan kikazi, ndioo nilijuana na huyu Mwanamke, akiwa singo mama wa watoto wawili, aliyeachwa na mmewe wa ndoa. Basi bidada wa watu akiwa anapambana kwanza yeye mwenyewe ale, avae aishi, bado Kuna watoto.
Tukawa wapenzi banaaa, tukawa tunasaidiana saidiana hivyo kimtindo Maisha yanasonga. (bibi storia yake na mumewe aliwahi nisimulia ,mpaka nikamuonea huruma , alikua halali bila kumeza dawa zakusaidia usingizi, sababu ya mawazo)
Basi Maisha yakaenda, baadae nikahama huo Mkoa kabisaa. Hivo yakabaki Mawasiliano tuuu yahapa napale na baadae Mawasiliano yakakata, alikua hapatikani.
Hatimaye leo nimekutana naye, ananiambia G, Mimi nipo Mkoa huu huu Sasa twende uone ofisi yangu.
Kabla sijalipia, tayari anamuuliza muuzaji, vinagharimu ngapi? Basi akachukua navyake, akalipia vyoteee tukasepa.
Nyieee, ana Toyota Raum, basi ikabidi kapikipiki kangu nikaache hapo kwanza. Nafika kwenye Ofisi yake, aiseee bonge la duka la mavazi yaani Si Viatu, Si Nguo kuanzia za vichanga mpaka wakubwa, nguo za Kila aina, kubwaaaa kubwaaaaaa kaunganisha frame 3.
Niliwishiwa pozi, nimebaki kumpongeza tu, hongera banaa, hongera Sanaa, Mungu kakupiganiaaa, Hongeraaa sanaaa n.k .
Ananiambia G Sasa ninafanya ujenzi wa Nyumba yangu. Nikamuuliza, imekuaje kuaje? umeinuka hivi. Ndo ananiambia kua waliamuaga kuuza shamba waloachiwa na baba yao, wakagawana ,yeye akapewa Milioni 6 .
Ndio hapo akainukiaa, Bidada naniambia Kwa Sasa mizigo yake anafata Kenya, Uganda, na Dar Kwa mbali. Hakika Maisha yasikie. Imebidi nimchombeze masikion kumpima kama bado ananielewa "Vipi hiyo kitu bado inahamu namimi?”
Akacheka kama falaaaaa huku ananiambia, hujaaachaga tuu mambo yako, usijaliiiii lakini kua na amani.
Nikahisi ananitania, nikamuuliza tena, "nitaipataata???".
Akajibu eeehh maadam tumeonana leo, Mawasiliano yapo, nitakupea tu!
Daaahh akanisindikiza mpaka pale nilipoacha tukutuku, nikasepa.
Aiseee kama mnaachana namtu au mnapotezana, usimwache Kwa matusi, vipigo, kejeli au dharau!
Maisha yanabadilika sana!
Unaenda kua marioo SasaEbwanaa eehh mida ya Saa Moja jion ya Leo, nlitoka Mara Moja kununua mahitaji. Basi nikafika Kwa duka fulani nikapaki Pikipiki huyo nikazama.

Kataa umarioo ,kataaa Kwa nguvu zako zote.Unaenda kua marioo Sasa
Chakata mbususu ioKataa umarioo ,kataaa Kwa nguvu zako zote.
Hili ndo muhim🤣Chakata mbususu io