Pongezi kwenu Single Mothers
Pia tukumbuke Monalisa kazaa na mpemba. #Muungano oyeee#
 
5c3ce11a-9573-4d9b-98e3-9aa2c83fc7f2.jpg
 
Ukilea mtoto peke yako, mtoto lazima afate tabia zako, ziwe nzuri ama lah. Na Mara nyingi malezi ya mzazi mmoja hasa awe mama ndiyo analea watoto wake huwa Kuna katabia Fulani hivi kanajengeka kwa mtoto, kutoka kwa mama yake. Unakuta kama mtoto ni wa kike , basi ataishi kulingana na tabia anazofanya mama yake, ziwe nzuri ama mbaya.

Ukweli kabisa malezi ya mzazi mmoja pasipo sababu yoyote, ilhali wote mko hai, si jambo zuri. Kuna nafasi ya baba katika familia jinsi ya kuishape iwe vipi, na Kuna nafasi ya mama kwenye familia jinsi ya kuishape iwe vipi.
 
Msichanganye single mothers kwenye kapu moja na kuwamwagia pongozi, wengine ni makaha, malaya, viruka njia na machangudoa. Hapohapo kuna wajane, waliozisaliti ndoa zao, walioachwa na waume zao ama wao wenyewe kuwa na tabia mbaya au walikimbiwa na waume zao na wahuni wengine.

Huwezi kumpongeza mwanamke aliyevunja ndoa yake kwa uhuni wake, wanaostahili pongezi ni wajane pamoja na wale waliokimbiwa na waume zao wakabaki wamesimama imara bila kutetereka pamoja na wale waliozalishwa na wahuni kisha wakaachwa solemba bila ndoa. Wanawake wengine ni wahuni tu hawastahili pongozi, kuzaa na kuishi bila mume ndio mtindo wa maisha hawataki ndoa wana jeuri ya fedha na mali.
 
Mnataka kusema aende kuvizia watoto wake wanaomaliza darasa la saba au kidato cha nne?!!! Msirahisishe maisha hivyo nyie!

Nimesahau hata kusalimia; habari zenu wadau!
 
Miaka 40 kwa mwanamke ni mzee tiari.......huo ni muda wa menopause unakaribia yaani kwa kifupi engine inaenda kunock
 
Hiyo arobaini simzungunzii mwanamke, namzungumzia huyo mwanaune anayekatazwa asioe mwanamke aliyezaa!!
 
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me...
Kwani ukioe alio maliza f4 au darasa la saba ni dhambi miaka 20 kwa 40 mbona fresh tu, kuliko kujipelekea time bomb ya singo maza
 
Habari jf.
Nimeamua kuandaa hii thread kutokana na uzoefu wangu nilioupata.

Nianzie kwa kulea mtoto ambaye si wa single mother.
Yani anaweza kuwa ni ndugu wa karibu wa damu ukaishi nae nyumbani kwao, kwa madhara utakayopata ni-

Mambo ya familia yako ni rahisi kusemwa nje. Endapo familia yako itakuwa na conflict flani, au matatizo flani. Huyo mtoto anaweza kwenda hata kusimulia kwa ndugu zako wengine hata kwa watu ambao sio ndugu na haitakuwa siri tena kwa familia.

Akipata tatizo kama ugonjwa, ndugu zako hasa wazazi wanaweza fikili kuwa wewe ni muhusika kwenye tatizo hilo.
mfano akifariki nyumbani kwako ghafla wengine wanaweza amini kuna kitu umekifanya kwa mtoto wao hata kama ni ndugu.

Mtoto ni rahisi kwenda kusema vitu vya uhongo kwa ndugu zenu wengine. Nimeshudia kwetu sisi akienda kwao hua anasema vitu vya uhongo mbavyo si vya kweli, na ndugu uamini kwamba home tupo fresh kabisa. Ilifika mpaka kipindi BIBI mzaa baba yangu alikasirika baadae ndo akaja kujua ukweli.

Kwa wengine akifanikiwa na kuondoka kwako anaweza kupotea mazima hata watoto wako akikutananao anawapotezea kabisa.
Kuna baba mmoja ni jirani yetu, siku mmoja nilimsikia anasema yeye hatasaidia ndugu zake tena kwenye maisha yake , jinsi alivyo simulia wale ndugu zake wa damu aliwafanya kama watoto wake. Ila walivyosoma na kuondoka ni mazima hata watoto wake wapo tuu. Kwa sasa yeye alifariki mwaka juzi kaacha watoto 4 kaka yao mkubwa ndo anawasaidia wadogo zake.

Majuto baadae. hii inakuja baada ya kutendewa visa kama hivyo juu , inapelekea mtu kutowaamini tena ndugu zake. Na kuanza kujuta kwa mda na gharama yote uliyoitumia.

Faida utakazopata ni kama-

Kufaamiana na kujenga ukaribu na watoto wako.

Kama atakua na moyo anaweza saidiana na watoto wako hapo baadae.

Jamii inayokuzunguka watakuona wewe ni mtu mwenye upendo na moyo
.

Twendeni kwenye mada ya single mother sasa.
Kuhusu kulea mtoto au watoto wa single mother.
Hapa nitazungumzia mtoto wa single mother ambaye Baba yake yupo hai, mzima buheri wa afya kabisa na hata baadhi ya point zinaweza kuwa ni kama baba ashafariki pia itahusika.
Mtoto wa single mother wapo wa haina 4,
a) Baba yake kashafariki,
b) Baba yake alimkataa tangu ujauzito ila yupo hai,
c) Baba yake yupo hai na anamjua ila haudumii chochote kwa mtoto wake,
d) Baba yake yupo anamjua na anamuudumia mtoto.

Sasa Faida utakayopata kulea mtoto wa single mother mimi kwangu naona ni moja tuu, tena inategemeana na Baba yake yupo hai au la-

Kujenga uhusiano na watoto wako na wewe mwenyewe na kuja kuwa msaada hapo baadae.
Hii hasa hasa inatokea sana kama Baba yake kashafariki, kwa sababu wewe atakuona kama ni baba yake kabisa, hana pa kwenda na hasa kama kunauwezekano mkubwa kama ndugu wa Baba yake hawajui.
Kama Baba yake yupo hai na anamjua basi inaweza isiwe hivyo kabisa. Na kama yupo hai ila hamjui, huyo mtoto kwa asilimia kubwa anaweza tafuta Baba yake.

Hasara au basi tunaweza sema mashara ambayo unaweza yapata, hii yanatokea sana kama Baba yake yupo hai.
Lakini ishu na matatizo yanakuwa hivi-

Unakuwa na responsible na mtoto ila hauna authority(Mamlaka) na mtoto.
iko hivi kwa sababu wewe huyo sio mtoto wako wa kumzaa na hata kuja kuwa mtoto wako.
Unamuudumia kila kitu kumnunulia nguo, viatu, vifaa vya shule na mazagazaga mengine. Lakini pia kumlipia ada ya shule. Lakini huna mamlaka nae kabisa mwenye mamlaka ni mama mwenyewe na kama Baba yake yupo hai na anamjua ndo kabisa unakuwa mpole tuu. Ngoja point za chini ndo utaelewa.

Twende kwenye point ya pili pale juu, kama Baba yake alimkataa huyo hai, watoto wa hivyo wengi wanatafuta Baba zao baadae. Wengi wao wanatafuta baba zao wazazi. Ok ni sawa kwa sababu kashakuwa mkubwa ni maamuzi yake. Anaweza kumsamehe Baba yake mzazi kwa kile alichofanya na mara nyingi Baba wa namna hio hawaendelezi msimamo wao wa zamani wa kumkataa. Iko hivi mtoto anaweza amisha kambi kabisa. Coz anakuona wewe sio baba yake kweli na watoto wako anawaona kama sio ndugu. Mfano mmoja wa humu ni Dada Carleen , naamini ni wewe umewahi leta thread moja hapa kuhusu kukutana na Baba yako mzazi na kupata hisia kabisa ya Ubaba japo ulituambia kuwa alisema anajutia kwa maamuzi aliyofanya hapo mwanzo,
Na kumuita yule Baba aliyekulea ni mwanaume na sio Baba. ( samahani kama nimekukukwaza). Mtoto akifanikiwa anaweza kupunguza upendo kwako na kwenda kwa Baba mzazi hata kama alimkataa au alimjua na hakumuudumia ndo pale unakuta elfu kumi kumi na vishati na visuruali ninaanza kwenda kwa Baba mzazi.
Note; ukilea mtoto wa single mother usijiaminishe atakuwa masaada kwako hapo baadae , fanya kama msaada tuu.

Uwezekana wa kutokea chuki kati ya mtoto na wewe Baba wa kufikia. hii inategemeana sana jinsi utakavyoishi na mtoto ukiwa ni mkali baba wa kufikia na viboko juu afu anajua kwamba wewe sio Baba kuna uwekano wa kutokea chuki baadae. Tena inakuwa rahisi kuamisha kambi kabisa, hasa akifanikiwa anaweza asirudi kabisa hapo kwako hata kwa watoto wako. Kama wewe ni Baba wa kufikia basi tujue jinsi ya kuishi na hawa watoto kwa upendo , hata kama Anamosa basi zipo njia nyingi za kutoa adhabu.

Kutokuwa na neno kwa mtoto huyo. iko hivyo wanaume wengi wanashidwa kuongea na watoto hao, kama akitakaafanya kitu flani hasa hii inatokea kama akiwa mkubwa na maisha yake, unaweza kushidwa kabisa kumwambia kuwa kuna tatizo flani hapa, tushirikiane hasa kama Baba yake mzazi anamfahamu.
Ni mama yake ndo anaweza muomba ila sio wewe unaweza kosa ujasiri kabisa wa kuongea nae. Kwa hilo ni watoto wako ndo wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wameshare tumbo moja.

Mkiachana na mkeo unaweza mpoteza kabisa mtoto huyo, na asirudi tena kwako. mkiachana na mama yake kwa ugomvi mkubwa na maneno juu, mpaka mahakamni na kugawana mali, huyo mtoto ANAWEZA UWEZEKANO WA KUTOKURUDI KWAKO NI 99.99%, ni mkubwa sana , kumbuka mda huo wewe umemlea huyo mtoto, hasa kama Baba yale yupo hai,
Lkn pia hata kama ameshafariki still uwezekana ni mkubwa sana.

Mtazamo wa familia yako na jamii kwa ujumla: Familia zetu za kiafrica watakushangaa kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambaye sio ndugu yako, hasa Baba yake akiwa yupo hai, mara nyingi familia wanaweza wakaona kuwa mnaweza share mke na Baba mtoto na kujiingiza kwenye majukumu yasiokuhusu. Hata kwa jamii ndivyo watakavyo ona tuu.

Sorry point kama moja nimeisahau, nikikumbuka nikaiweka friends

Nimetoa hii mada ni mtazamo wangu tuu, ila wapo wanaume wameyakuta hayo juu, trust me asilimia kubwa ya wanaume wanaooa single mother baadae wanajuta sana,
mnaweza nikosoa sawa, ila ni hayo tuu kwangu.

NOTE: UKIAMUA KULEA MTOTO AMBAE SI WAPO USIWE NA ILE ETI BAADAE ANAWEZA KUWA NANI ATANISAIDIA WEWE TENDA MEMA NENDA ZAKO, IKKTOKEA ANARUDI MWAKO BASI SAWA, ASIPO RUDI KWAKO NI SAWA TUU.
 
Wasalaam nyote,

Acha ukweli usemwe hadi sasa kundi kubwa la wanaume wadate single mothers, kinachowatesa ni conflict za mitizamo hasi dhidi ya single mothers, single mothers ni watamu wakati huo mwanaume amekula kiapo na kutoa mwanamke mwenye watoto au mtoto.

Mabinti wengi below 30 hawana stress za ndoa na usipokuwa na mvuto, cheo au pesa wengi hawana permanent girl friends wa uhakika na mahusiano hayadumu hata miezi 6 haifiki.

Ladies age 19-26 hawana plans za kuolewa na men wa 40+ yrs. Kademu kanakaa kidogo kanasepa labda uwe na pesa chafu sana.

Wakati huo single mothers hawana stress na mtu wao wanataka shoo tu na amani Maisha yaende.

Kwa stress za hawa dogodogo fc ambao daily wanataka pesa Ila maghetoni wanabania kuja aisee Kama sio jela basi malaika wanikane mimi.

Wenye uwezo wa kununua malaya kila siku na kuridhika ni wachache.

Shoo za maghetoni hazina mfano. Single mothers ni baraka tosha kwa jamii wanahitaji pongezi kubwa sana sana.

Mimi ni nani nisiwapongeze single mothers, kila siku wapo na ni wema sana.

Nawasilisha.

Wadiz.
 
Hapa tu unadhihirisha kuwa single mothers wengi hawajitambui yaani wao wamefanywa kuwa fallback ya wapenda ngono kwa sababu wapo cheap sana
 
Habari jf.
Nimeamua kuandaa hii thread kutokana na uzoefu wangu nilioupata.

Nianzie kwa kulea mtoto ambaye si wa single mother.
Yani anaweza kuwa ni ndugu wa karibu wa damu ukaishi nae nyumbani kwao, kwa madhara utakayopata ni-

Mambo ya familia yako ni rahisi kusemwa nje. Endapo familia yako itakuwa na conflict flani, au matatizo flani. Huyo mtoto anaweza kwenda hata kusimulia kwa ndugu zako wengine hata kwa watu ambao sio ndugu na haitakuwa siri tena kwa familia.

Akipata tatizo kama ugonjwa, ndugu zako hasa wazazi wanaweza fikili kuwa wewe ni muhusika kwenye tatizo hilo.
mfano akifariki nyumbani kwako ghafla wengine wanaweza amini kuna kitu umekifanya kwa mtoto wao hata kama ni ndugu.

Mtoto ni rahisi kwenda kusema vitu vya uhongo kwa ndugu zenu wengine. Nimeshudia kwetu sisi akienda kwao hua anasema vitu vya uhongo mbavyo si vya kweli, na ndugu uamini kwamba home tupo fresh kabisa. Ilifika mpaka kipindi BIBI mzaa baba yangu alikasirika baadae ndo akaja kujua ukweli.

Kwa wengine akifanikiwa na kuondoka kwako anaweza kupotea mazima hata watoto wako akikutananao anawapotezea kabisa.
Kuna baba mmoja ni jirani yetu, siku mmoja nilimsikia anasema yeye hatasaidia ndugu zake tena kwenye maisha yake , jinsi alivyo simulia wale ndugu zake wa damu aliwafanya kama watoto wake. Ila walivyosoma na kuondoka ni mazima hata watoto wake wapo tuu. Kwa sasa yeye alifariki mwaka juzi kaacha watoto 4 kaka yao mkubwa ndo anawasaidia wadogo zake.

Majuto baadae. hii inakuja baada ya kutendewa visa kama hivyo juu , inapelekea mtu kutowaamini tena ndugu zake. Na kuanza kujuta kwa mda na gharama yote uliyoitumia.

Faida utakazopata ni kama-

Kufaamiana na kujenga ukaribu na watoto wako.

Kama atakua na moyo anaweza saidiana na watoto wako hapo baadae.

Jamii inayokuzunguka watakuona wewe ni mtu mwenye upendo na moyo
.

Twendeni kwenye mada ya single mother sasa.
Kuhusu kulea mtoto au watoto wa single mother.
Hapa nitazungumzia mtoto wa single mother ambaye Baba yake yupo hai, mzima buheri wa afya kabisa na hata baadhi ya point zinaweza kuwa ni kama baba ashafariki pia itahusika.
Mtoto wa single mother wapo wa haina 4,
a) Baba yake kashafariki,
b) Baba yake alimkataa tangu ujauzito ila yupo hai,
c) Baba yake yupo hai na anamjua ila haudumii chochote kwa mtoto wake,
d) Baba yake yupo anamjua na anamuudumia mtoto.

Sasa Faida utakayopata kulea mtoto wa single mother mimi kwangu naona ni moja tuu, tena inategemeana na Baba yake yupo hai au la-

Kujenga uhusiano na watoto wako na wewe mwenyewe na kuja kuwa msaada hapo baadae.
Hii hasa hasa inatokea sana kama Baba yake kashafariki, kwa sababu wewe atakuona kama ni baba yake kabisa, hana pa kwenda na hasa kama kunauwezekano mkubwa kama ndugu wa Baba yake hawajui.
Kama Baba yake yupo hai na anamjua basi inaweza isiwe hivyo kabisa. Na kama yupo hai ila hamjui, huyo mtoto kwa asilimia kubwa anaweza tafuta Baba yake.

Hasara au basi tunaweza sema mashara ambayo unaweza yapata, hii yanatokea sana kama Baba yake yupo hai.
Lakini ishu na matatizo yanakuwa hivi-

Unakuwa na responsible na mtoto ila hauna authority(Mamlaka) na mtoto.
iko hivi kwa sababu wewe huyo sio mtoto wako wa kumzaa na hata kuja kuwa mtoto wako.
Unamuudumia kila kitu kumnunulia nguo, viatu, vifaa vya shule na mazagazaga mengine. Lakini pia kumlipia ada ya shule. Lakini huna mamlaka nae kabisa mwenye mamlaka ni mama mwenyewe na kama Baba yake yupo hai na anamjua ndo kabisa unakuwa mpole tuu. Ngoja point za chini ndo utaelewa.

Twende kwenye point ya pili pale juu, kama Baba yake alimkataa huyo hai, watoto wa hivyo wengi wanatafuta Baba zao baadae. Wengi wao wanatafuta baba zao wazazi. Ok ni sawa kwa sababu kashakuwa mkubwa ni maamuzi yake. Anaweza kumsamehe Baba yake mzazi kwa kile alichofanya na mara nyingi Baba wa namna hio hawaendelezi msimamo wao wa zamani wa kumkataa. Iko hivi mtoto anaweza amisha kambi kabisa. Coz anakuona wewe sio baba yake kweli na watoto wako anawaona kama sio ndugu. Mfano mmoja wa humu ni Dada Carleen , naamini ni wewe umewahi leta thread moja hapa kuhusu kukutana na Baba yako mzazi na kupata hisia kabisa ya Ubaba japo ulituambia kuwa alisema anajutia kwa maamuzi aliyofanya hapo mwanzo,
Na kumuita yule Baba aliyekulea ni mwanaume na sio Baba. ( samahani kama nimekukukwaza). Mtoto akifanikiwa anaweza kupunguza upendo kwako na kwenda kwa Baba mzazi hata kama alimkataa au alimjua na hakumuudumia ndo pale unakuta elfu kumi kumi na vishati na visuruali ninaanza kwenda kwa Baba mzazi.
Note; ukilea mtoto wa single mother usijiaminishe atakuwa masaada kwako hapo baadae , fanya kama msaada tuu.

Uwezekana wa kutokea chuki kati ya mtoto na wewe Baba wa kufikia. hii inategemeana sana jinsi utakavyoishi na mtoto ukiwa ni mkali baba wa kufikia na viboko juu afu anajua kwamba wewe sio Baba kuna uwekano wa kutokea chuki baadae. Tena inakuwa rahisi kuamisha kambi kabisa, hasa akifanikiwa anaweza asirudi kabisa hapo kwako hata kwa watoto wako. Kama wewe ni Baba wa kufikia basi tujue jinsi ya kuishi na hawa watoto kwa upendo , hata kama Anamosa basi zipo njia nyingi za kutoa adhabu.

Kutokuwa na neno kwa mtoto huyo. iko hivyo wanaume wengi wanashidwa kuongea na watoto hao, kama akitakaafanya kitu flani hasa hii inatokea kama akiwa mkubwa na maisha yake, unaweza kushidwa kabisa kumwambia kuwa kuna tatizo flani hapa, tushirikiane hasa kama Baba yake mzazi anamfahamu.
Ni mama yake ndo anaweza muomba ila sio wewe unaweza kosa ujasiri kabisa wa kuongea nae. Kwa hilo ni watoto wako ndo wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wameshare tumbo moja.

Mkiachana na mkeo unaweza mpoteza kabisa mtoto huyo, na asirudi tena kwako. mkiachana na mama yake kwa ugomvi mkubwa na maneno juu, mpaka mahakamni na kugawana mali, huyo mtoto ANAWEZA UWEZEKANO WA KUTOKURUDI KWAKO NI 99.99%, ni mkubwa sana , kumbuka mda huo wewe umemlea huyo mtoto, hasa kama Baba yale yupo hai,
Lkn pia hata kama ameshafariki still uwezekana ni mkubwa sana.

Mtazamo wa familia yako na jamii kwa ujumla: Familia zetu za kiafrica watakushangaa kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambaye sio ndugu yako, hasa Baba yake akiwa yupo hai, mara nyingi familia wanaweza wakaona kuwa mnaweza share mke na Baba mtoto na kujiingiza kwenye majukumu yasiokuhusu. Hata kwa jamii ndivyo watakavyo ona tuu.

Sorry point kama moja nimeisahau, nikikumbuka nikaiweka friends

Nimetoa hii mada ni mtazamo wangu tuu, ila wapo wanaume wameyakuta hayo juu, trust me asilimia kubwa ya wanaume wanaooa single mother baadae wanajuta sana,
mnaweza nikosoa sawa, ila ni hayo tuu kwangu.

NOTE: UKIAMUA KULEA MTOTO AMBAE SI WAPO USIWE NA ILE ETI BAADAE ANAWEZA KUWA NANI ATANISAIDIA WEWE TENDA MEMA NENDA ZAKO, IKKTOKEA ANARUDI MWAKO BASI SAWA, ASIPO RUDI KWAKO NI SAWA TUU.
Naunga mikono hoja
 
Back
Top Bottom