Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio woteWadau huwa unanipa wakati mgumu hili swala ni kweli ukioa singo mama yule jamaaa wake anauwezakano mkubwa wa kutembea na mkeo ambae ni mzazi mwenzake?
SawaBora kuoa jiwe kuliko Singo Maza
Nakukumbusha, singo maza haolewi
Kojoa Tembea
😃😃Bora umesemaWapumzisheni wadada wa watu sasa mnataka muwe mnawasema mpk wawe wanaota!
Ni chakula mkuu sio chakura*Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla ya kufikilia kufanya unashauliwa kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Basi bwana ndugu msomaji leo ngoja nikupe Hasara za kuoa mwanamke mwenye mtoto/watoto ambao si wa kwako.
Hapa nitazungumia wale watoto/mtoto ambao bado ni wadogo, na hata kama wakubwa ni wale watoto ambao bado hawajiwezi. Yaani wahitaji uangalizi wa mama na baba ili waweze kusavaivu.
1. UPENDO
Kwa asilimia kubwa wamama wengi wenye watoto wadogo upendo wao huwa kwa watoto wao kwanza alafu ndio mumewe.
Hii hujibadilisha na kuwa zarau kwako mume, mfano mtoto analilia kuoga na wewe unahitaji chakura kwa mda huo huo mmoja, amini amini nakueleza anaanza shughulika na mtoto wake kwanza huku ukiachwa umeduaa.
2. WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea,
Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi,. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.
Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.
3. HUDUMA ZA MTOTO/WATOTO
Hapa kuna mambo mawili ambayo yote ni mabaya
!) Uwahudumie watoto kwa kila kitu mpaka ukubwa wao
!!) Baba yao mzazi awe anahudumia watoto wake.
!!) Je atakuwa anahudumia kwa mfumo upi ?
!) kuwasiliana na wewe
!!) kuwasiliana na mama watoto moja kwa moja?
Na je uaminifu utatoka wapi?
Nilale mie
🚪🛏️🛋️
SawaWapumzisheni wadada wa watu sasa mnataka muwe mnawasema mpk wawe wanaota!
Nilishasema juu ya kiwango chagu cha elimuNi chakula mkuu sio chakura*
Mimi nimeoa mwanamke mwenye wajukuu.Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla ya kufikilia kufanya unashauliwa kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Basi bwana ndugu msomaji leo ngoja nikupe Hasara za kuoa mwanamke mwenye mtoto/watoto ambao si wa kwako.
Hapa nitazungumia wale watoto/mtoto ambao bado ni wadogo, na hata kama wakubwa ni wale watoto ambao bado hawajiwezi. Yaani wahitaji uangalizi wa mama na baba ili waweze kusavaivu.
1. UPENDO
Kwa asilimia kubwa wamama wengi wenye watoto wadogo upendo wao huwa kwa watoto wao kwanza alafu ndio mumewe.
Hii hujibadilisha na kuwa zarau kwako mume, mfano mtoto analilia kuoga na wewe unahitaji chakura kwa mda huo huo mmoja, amini amini nakueleza anaanza shughulika na mtoto wake kwanza huku ukiachwa umeduaa.
2. WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea,
Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi,. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.
Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.
3. HUDUMA ZA MTOTO/WATOTO
Hapa kuna mambo mawili ambayo yote ni mabaya
!) Uwahudumie watoto kwa kila kitu mpaka ukubwa wao
!!) Baba yao mzazi awe anahudumia watoto wake.
!!) Je atakuwa anahudumia kwa mfumo upi ?
!) kuwasiliana na wewe
!!) kuwasiliana na mama watoto moja kwa moja?
Na je uaminifu utatoka wapi?
Nilale mie
🚪🛏️🛋️
Wala usianze kujistukia, wewe andika tu, sisi tutajua tu kiwango chako cha elimu baada ya kusoma ulichoandika.(ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Hapa utakuwa umeoa takataka! Na wewe mwenyewe utakuwa mwanaume wa daraja la chini sana!WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea.
Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.
Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.
Kuna manaume mengi yamegeuka kuwa takataka siku hizi! Kila linaloamka linaamka na Singo mazeri pumbavu kabisa!Mnavo wasimanga single mums duuh 😒 nadhani tunatakiwa tuwatie moyo walee watoto wao na sio kuwatia mdomono kila siku kama mswaki