Pongezi kwenu Single Mothers
Hammer11

Maisha kwa sasa ni magumu kea mfano sio rahisi eti mzazi mwenzie atoke arusha aje mara kwa mara kumtafuta mkeo labda tabora ili amtafune...mostly wanakuwaga wamegombana so ni wanawake wachache wenye hulka za umalaya huo

Hint

1.mbadilishie line wasiwe na mawasiliano
2.akitaka kuja kumuona mtoto basi mtoto apelekwe kwa ndugu zake wemgine akamuonee hukohuko
 
Inategemea, kuna wanawake hata ex akiwa jaribu hawarudi tena kwake. Mara nyingi akiwa aliumizwa sana nae basi huyo hatamrudia, ila ikiwa mengine kusali tu.
 
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla ya kufikilia kufanya unashauliwa kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.

Basi bwana ndugu msomaji leo ngoja nikupe Hasara za kuoa mwanamke mwenye mtoto/watoto ambao si wa kwako.

Hapa nitazungumia wale watoto/mtoto ambao bado ni wadogo, na hata kama wakubwa ni wale watoto ambao bado hawajiwezi. Yaani wahitaji uangalizi wa mama na baba ili waweze kusavaivu.

1. UPENDO
Kwa asilimia kubwa wamama wengi wenye watoto wadogo upendo wao huwa kwa watoto wao kwanza alafu ndio mumewe.

Hii hujibadilisha na kuwa zarau kwako mume, mfano mtoto analilia kuoga na wewe unahitaji chakura kwa mda huo huo mmoja, amini amini nakueleza anaanza shughulika na mtoto wake kwanza huku ukiachwa umeduaa.

2. WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea.

Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.

Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.

3. HUDUMA ZA MTOTO/WATOTO
Hapa kuna mambo mawili ambayo yote ni mabaya.

!) Uwahudumie watoto kwa kila kitu mpaka ukubwa wao

!!) Baba yao mzazi awe anahudumia watoto wake.

!!) Je atakuwa anahudumia kwa mfumo upi?

!) kuwasiliana na wewe
!!) kuwasiliana na mama watoto moja kwa moja?

Na je uaminifu utatoka wapi?

Nilale mie
🚪🛏️🛋️
 
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea,
Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi,. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.
Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.

3. HUDUMA ZA MTOTO/WATOTO
Hapa kuna mambo mawili ambayo yote ni mabaya
!) Uwahudumie watoto kwa kila kitu mpaka ukubwa wao
!!) Baba yao mzazi awe anahudumia watoto wake.
!!) Je atakuwa anahudumia kwa mfumo upi ?

Ni chakula mkuu sio chakura*
 
Mimi nimeoa mwanamke mwenye wajukuu.
 
(ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Wala usianze kujistukia, wewe andika tu, sisi tutajua tu kiwango chako cha elimu baada ya kusoma ulichoandika.

Kwa hiyo usijistukie tutajua tu kama ni mbivu ama ni mbichi
 
Singo maza mmoja alikuwa mpenzi wangu alinipigia simu siku hiyo kwa enda kwa mzazi mwenzie nikasikia "ooh yes ooh no harder harder na makofi juuu🥶sijui walikuwa wanafa nini
 
Mnavo wasimanga single mums duuh 😒 nadhani tunatakiwa tuwatie moyo walee watoto wao na sio kuwatia mdomono kila siku kama mswaki
 
WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea.

Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.

Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.
Hapa utakuwa umeoa takataka! Na wewe mwenyewe utakuwa mwanaume wa daraja la chini sana!
 
Mnavo wasimanga single mums duuh 😒 nadhani tunatakiwa tuwatie moyo walee watoto wao na sio kuwatia mdomono kila siku kama mswaki
Kuna manaume mengi yamegeuka kuwa takataka siku hizi! Kila linaloamka linaamka na Singo mazeri pumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom