Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

ulikuwa mjinga kaapembeni werevu wanajua kazi yake
 
Kaaa pembeni nkabida huitajiki na hujaombwa, kilikuwa kimbelembele chako tu
 
Ulitaka nini wewe mbwiga? Mwenzako Bado anapanga safi yake ya uongozi wewe unaharisha kande humu!!

Miaka 20 ya Mbowe na ujinga wake hatukukusikia unahoji, lakini siku 2 tu za Lissu umeanza kuharisha!!

Jinge kweli wewe
 
On top of that,
1. Michango ya hiari ndani na nje ya nchi ya kukiwezesha chama ianzishwe kama siyo kuimarishwa mara moja. Mbowe na rafiki zake walikifadhili chama sana. Kazi ipo
 
Ulitaka nini wewe mbwiga? Mwenzako Bado anapanga safi yake ya uongozi wewe unaharisha kande humu!!

Miaka 20 ya Mbowe na ujinga wake hatukukusikia unahoji, lakini siku 2 tu za Lissu umeanza kuharisha!!

Jinge kweli wewe
Siyo makosa yako.

Nimekusamehe bure mdogo wangu
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu ameendelea kumwita Mh.Mbowe Mwenyekiti. Akihojiwa na Salim Kikeke mara zote amekuwa akimwita hivyo.

Kwa maoni yangu, Hii ni heshima kubwa kwa Mbowe kutoka kwa Lissu na kunapaswa kuichukulia hivyo
 
Tuanze na maoni yako ndugu mtoa mada

Tunatamani Lissu aupige mwingi hadi sisi tusio na vyama tuchukue kadi za Chadema.
 
Najiuliza hii hali tuliyoiona baada ya matokeo kujulikana,,,kama mshindi angekua ni Mbowe,,,Lissu angeweza kuwa na ujasiri huu aliounesha Mbowe??
Mbowe tamaa yake imemponza
Lazima ajikaze kuzuga

Hata hivyo, tunamshukuru Kwa kukubali ukweli.
 
Tuanze na maoni yako ndugu mtoa mada

Tunatamani Lissu aupige mwingi hadi sisi tusio na vyama tuchukue kadi za Chadema.
Mkuu angalia zaidi thread zilizotangulia tiyari nilishaanza kutoa maoni yangu, hata hivyo bado nitaendelea kutoa maoni kupitia Uzi huu
 
Chama kiangalie namna bora ya kujikusanyia mapato ili kijiendeshe vyema
 
Mkuu angalia zaidi thread zilizotangulia tiyari nilishaanza kutoa maoni yangu, hata hivyo bado nitaendelea kutoa maoni kupitia Uzi huu
Sawa Mkuu
Hongereni wachagga kwa kumuunga mkono Lissu
Sasa rasmi Chadema ni chama cha watanzania wote, na tutachukua kadi.
 
Naungana na wapenda Mabadiliko wote nchini kumpongeza Mh Tundu Lissu kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Ni ukombozi kwa nchi, Chama na wapenda demokrasia wote ulimwengu.

Mungu amtangulie katika kazi zake na majukumu yake mapya.

Wengi tutamuunga mkono
 
Benson ulikua huna bando au simu ilikua Kwa fundi?

Kazi kutibua maumivu ya watu tu huko waliko.
 
Amesema ataishitaki TIGO lkn kimya.
Pesa za gari alizochangiwa na maria zimeenda wapi?
Ni wazi Lissu hakuna analofika nalo mwisho wa safari.
Tutegemee chadema kuachwa njiani mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…