Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ndio maana nakuita namba 7, sio kwa cross hizo kali😂🤣🤣🤣🤣🤣Sio kwa no hiyo!nipo mererani natafuta jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nakuita namba 7, sio kwa cross hizo kali😂🤣🤣🤣🤣🤣Sio kwa no hiyo!nipo mererani natafuta jiwe
Nikirudi jiandae nikutoe out bill kwangu😅😅😅Ndio maana nakuita namba 7, sio kwa cross hizo kali😂
Sasa mama safari ya kutafuta mapacha inaanza lini?😁😁Mmmh mbona yupo na huzuni😃😃😃
Nafanya mchakato hapa nipige free kick moja nipate pacha zangu niongeze uzao😁😁😁 Asante sana mkuu.. mashuti ya kufingia kati kati ya uwanja hay
Usije kuniacha bila nauli kamaNikirudi jiandae nikutoe out bill kwangu😅😅😅
🤣🤣🤣🤣Hapa tunangoja wingu tu lituongoze Kama lilivyoongoza Wana Israel jangwani..Sasa mama safari ya kutafuta mapacha inaanza lini?😁😁
😁😁😁basi wingu lifanye faster ili kazi itimie mapacha wapatikane. Sema kukea pacha nayo kazi, bwana National Anthem atasimuliq baada ya miaka mitano hivi.🤣🤣🤣🤣Hapa tunangoja wingu tu lituongoze Kama lilivyoongoza Wana Israel jangwani..
Kumbe?😂Mbona unaniita mdogo wako?😁
Kwani na nauli juu yangu tena?Eva yalimkuta yapi?Usije kuniacha bila nauli kama
Evelyn Salt huwa hasahau mkasa huo🤣🤣
Maana ya kutolewa ni kulipiwa kila kitu, nitaacha wallet nyumbani kabisa😂Kwani na nauli juu yangu tena?Eva yalimkuta yapi?
Umeamua iwe hivyo mkuu❓️😁😁Mwanangu wewe kula ccm lala upinzani na siku zinaaonga...mie mpinzani🤣
🤣🤣🤣🤣Heee makubwa!hapo nimeahirisha mtokoMaana ya kutolewa ni kulipiwa kila kitu, nitaacha wallet nyumbani kabisa😂
Mkuu ninakushtua tu usibweteke vita ni vikali.Umeamua iwe hivyo mkuu❓️😁😁
🤣🤣🤣DaahUmeamua iwe hivyo mkuu❓️😁😁
😁😁😁😁😁kumbe kuna ushindani?Mkuu ninakushtua tu usibweteke vita ni vikali.
Hizi pisi kali hazikupi kulala usingizi, ukizubaa unabaki mshika mapembe😂😂