Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
 
Maisha yamekuwa magumu, bila kubangaiza
inakuwa shida zaidi.
 
Back
Top Bottom