Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Nimekuelewa juzi ulisema ulivaa shati la kijani ulipokwenda kurudisha fomu ya Ubunge wa EAC Assembly.Ata ningekuwa Mimi ningesifia tu kazi ya Mama!
 
Ppole mkuu jina lako kutoonekana kwenye list ya juzi ya majaji

#Maendeleo hayana Chama
 
Kwa hili bandiko tu ni dhahiri Paskali unataka uteuliwe.
Sio mbaya kutaka hivyo ila kule kutaka upate kwa kusifia ndiko tatizo liliko, hutakuwa tofauti na mtoa rushwa.

Huyu raisi hastahili kusifiwa kwa kila analofanya kwa kuwa anatimiza wajibu wake. Muhimu sana kukosolewa anapotoka nje ya mstari ili awajibike ipasavyo kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Bila shaka umejionea vibe la Mbeya ..

Ukiwa humu mitandaoni ambapo Chadema na Sukuma gang qanaongoza kwa mafuriko unaweza dhani huko kitaa mambo hayaendi na kila Mtu anamchukia Rais.h

Nimecheka kwa nguvu, huku mitandaoni hakuna wajinga wa kulishwa propaganda mfu. Rais kujaza watu kwenye ziara zake sio ishara ya kukubalika, maana mbinu zinazotumika kujaza watu kwenye ziara za rais tunazifahamu.
 

Ww wala huhitaji kusema unahitaji nini na nini huhitaji. Sisi wenyewe tunaweza kupima na kujua bila muongozo wako.

Nimecheka hapo uliposema kuwa kuna binti mlimpokea TBC na sasa ni jaji, hivyo na ww unaweza kuwa jaji. Ni kweli unaweza kuwa jaji, maana vigezo vya kuteua majaji hapa Tanzania sio lazima uwezo, bali vigezo vikuu ni utashi na malengo ya mteuaji. Kwa mahakama hizi zisizo huru, yoyote anaweza kuwa jaji ili mradi anakidhi vigezo vya mteuaji. Ingekuwa unahitaji ujaji hapo Kenya wangalau wao wanajitahidi kutunza viwango ningeona unajivunia uwezo.
 
Nimecheka kwa nguvu, huku mitandaoni hakuna wajinga wa kulishwa propaganda mfu. Rais kujaza watu kwenye ziara zake sio ishara ya kukubalika, maana mbinu zinazotumika kujaza watu kwenye ziara za rais tunazifahamu.
Mbona Chadomo huwa mnaongoza mafuriko ya mitandaoni ila mtaani mnapigwa za USO,hamuoni nyie ni wajinga mnaowekeza nguvu sehemu isiyo na faida kwenu?
 
She is simply incompetent.
And yet it's you who dance according to the tone she plays........

And yet she has got a bilion reasons not to give a damn about you but you have got none.........

And yet she is the most powerful person in tz while you are the weakest.........

And yet she lives in the 'cleanest' place where, unlike your place, bed bugs have got no room............

And yet she is guaranteed a life-time handsome monthly pension more than your whole clan annual income (if my English is ok)........

And yet..............
And yet..............
And yet..............
 
Mbona Chadomo huwa mnaongoza mafuriko ya mitandaoni ila mtaani mnapigwa za USO,hamuoni nyie ni wajinga mnaowekeza nguvu sehemu isiyo na faida kwenu?

Huko mtaani hatushindwi bali huwa tunaporwa ushindi na vyombo ya dola. Huku mitandaoni hakuna mbeleko ya vyombo vya dola bali kila mtu anashinda mechi zake. Ondoeni matumizi ya vyombo dola ndio mtajua nguvu yenu halisi ilipo.
 
This is the kind of thinking for an ignorant and unfortunate creature.
 

This is the kind of thinking for an ignorant and unfortunate creature.
Ooooh!
May be s/he is not aware of what she has wrote. Because all he has mentioned are just life materials. Anyone can have them, it depends on their efforts and opportunity!

Kulala pazuri, kuwa na maisha bora ni suala la jitihada +kudra!
Kwa mfano ingetokea kila mtanzania akapewa chimbo lake achimbe dhahabu walau kg 1, au auze wanyama nje ya nchi, au avue samaki ziwani, baharini nk, nani angebaki maskini?

Lakini hao anaosema wana maisha bora ni kwasababu wana nafasi ya kutumia rasilimali za taifa na kujilipa hiyo mishahara mikubwa!
 
Kwangu mimi kumwita mtu aliyehudumu katika nafasi kubwa tu, tangu kitambo tu, na sasa anaendelea katika majukumu makubwa zaidi 'incompetent' ni tusi kubwa sana. Ni dhahiri linachochewa na wasiomkubali kwa sababu zao (ingawa zinaweza kuhisika). Tusio na chuki nae huwa tunajaribu, mara moja moja, kumtetea kutegemea na aina ya attack in the field........serious tutajaribu kuijibu kiuserious; dhihaka itaenda kidhihaka kama hivyo.

Angakizo; sina uhakika kama aliamka tu na kujikuta pale....

Point of correction; it is a person with a magic stick here.....not she!
 
kwani ukipewa U DC utakataa mzee
Tofauti Kati ya Pongezi za Ukweli, Bonafide Genuine na Pongezi za Uchawa na Kujikombakomba ni very thin!.
The dividing line kati ya pongezi za kweli kwa Rais wa nchi anapofanya vizuri na pongezi za kujikomba komba ama uchawa, is very thin, namna pekee ya kutofautisha ni pongezi genuine atapongezwa kwa mazuri tuu, lakini akikosea, atakosolewa, lakini pongezi za uchawa, kazi yao ni kupongeza tuu, hata akosee vipi, hawatamkosoa!.

Pascal Mayalla ni Msifiaji na Mpongezaji Mzuri, Ila Pia ni Mkosoaji Mzuri
Kila ninaposifu viongozi, kuna watu wanadhani ninasifu kuwinda uteuzi, na waamini Pasco Mayalla hajalamba uteuzi wowote, kwasababu ya ukosoaji wake. Msifiaji mtafuta uteuzi, kamwe hawezi kukosoa!, Pasco Mayalla alimsifu sana JK, ila pia alimkosoa, alimsifu sana JPM, ila pia alimkosoa hadi JPM akamtania "'Mayalla ni Njaa", na Sasa tunamsifu Samia, na ikitokea akakosea pia tunamkosoa!, kwasababu tunajua Rais Samia ni Binadamu, hivyo hawezi kuwa perfect, hivyo japo hapa namsifu rais Samia, siku akikosea, tunamkosoa kwa heshima na unyenyekevu la lengo la kujenga na sio kumbomoa!, constructive criticism.

Kwa Nini Pasco Mayalla, Hataki Uteuzi Wowote wa Hisani?.
Tanzania ni nchi yetu sote, wazalendo wa kweli, wana wajibu wa kuisaidia nchi yao na viongozi wake, sababu pekee inayosababisha Pascal Mayalla hataki uteuzi wowote ni kwa sababu Pascal Mayalla ni member wa Mhimili wa Nne, huku nilipo, nina isaidia sana nchi yangu na kuwasaidia sana viongozi wangu na nchi yangu kuliko hata nikiteuliwa. Na kuna ma DC waliokuwa wanafanya mambo makubwa mazuri ya kulisaidia taifa kabla hawajateuliwa na baada ya kuteuliwa, now they do nothing!.

Media ni Mhimili Sisi Watu Mhimili wa Media, Kama Unatimiza Majukumu Ya Kimhimili, Unataka Uteuliwe ili Ufanye Nini?.
Serikali zote duniani, zinaundwa na mihimili mitatu ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mhimili wa Nne!. Mhimili huu wa nne ambao sio rasmi, unaitwa “The Fourth Protocol” or “The Fourth Estate”.

Ile mihimili mitatu rasmi, ni rasmi kwasababu ndio iliyomo kwenye katiba, inatambulika na wakuu wa mihimili hiyo wanatambulika rasmi na kuheshimika sana, hawa ni Rais, Spika na Jaji Mkuu, ule mhimili wa Nne kwa vile sio rasmi, sio tuu hautambuliki, bali hauna hata mkuu wa mhimili, lakini mhimili huu upo!.

Mihimili hii mitatu ambayo ni rasmi, inaheshimika na majukumu yake, nguvu yake, , mamlaka yake,na madaraka yake yako wazi yameainishwa kwenye katiba, lakini huu mhimili wan ne usio rasmi. Kwa vile hautambuliki, hivyo nguvu yake, madaraka yake na mamlaka yake hayatambuliki lakini kiukweli yapo na una nguvu fulani kubwa kuliko hata hii mihimili mingine yote ila ngubu hii haijulikani rasmi kwasababu mhimili huu sio rasmi!.
P
 
Huna lolote wewe kazi kujikomba tu na kujipendekeza ili upate teuzi
 
Unahangaika sana na teuzi, hii awamu utakuwa mtu wa ajabu sana
Huna lolote wewe kazi kujikomba tu na kujipendekeza ili upate teuzi
Wakuu Memento na Nazjaz karibuni msome hilo declaration
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…