Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Mkuu umenichekesha sn, ungekuwa jeuri usingefyata mkia na kujikuta unajikomba kwa jiwe kwenye ubunge na matokeo yake ukaishia kura moja
JF was meant for GTs, my gt wote humu wananielewa na kunifahamu kuwa sijawahi kufyata, na wala sikujikomba bali nilijiunga rasmi na JPM ili kumsaidia, na nilitangaza humu rasmi kujiunga nae, Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na kiukweli, nilimsaidia sana tu Blaza.

Kwenye fani yetu ya habari, tunafundishwa kuwa majasiri, brave and fearless, but when you reach a point life threatening situation and your facing choosing between bravery to death na kuitwa shujaa or retreat and surrender and survival na kuitwa umefyata, mimi nilichagua the survival path, kama unaamini ile Kawe project niliopata kura moja, nilidhamiria, ni nilivuna nilicho panda, then watch me now in Eala ambayo sasa ndio nimedhamiria kiukweli kweli.

Kama nilivyomsaidia sana JPM, watu waliomzunguka hawana uwezo wa kumsaidia kwenye areas za beyond the paranormal kama eneo karma, na matokeo ndio yale, karma imekula kichwa!. Huyu Mama anahitaji kusaidiwa maeneo hayo, thanks God ni mcha Mungu, mtenda mema na mtenda haki, hivyo there is no life threatening bad karmic creations, msaada mkubwa kwa mama, ni kumsaidia afike salama 2025 October, by July 2025 atasema mwenyewe kitu!.

Tunamsaidia na kwenye Eala nia ni kwenda kulisaidia taifa.
P
 
Rubbish
 
Wewe ni muoga sn huna ujasiri wowote, huwezi kujiunga na mtu ambaye amekutesa amekukatia biashara, hizi mambo waachie Lissu, John Heche na Mbowe wewe huna uwezo huo hata tone
 
Mtu Kama Pascal Mayalla ameishi , Marekani , Canada lakini Unakuta anatamani Apate Tena teuzi Kama U DC au RAS wakati Muda Kama huu alibidi atoe Ajira kwa vijana Kama anavyofanya Sugu au Jay Z
P
 

  1. Mkuu HAYA LAND, karibu mitaa hii. Nimekuleta hapa ili kukuhakikishia sio kila kupongeza ni kusaka uteuzi!.

    Kuna wengi tunajuana ki jf jf tuu, jee wewe unanifahamu jinsi nilivyo hivyo ku determine kama nimetoboa au laa?.

    Kwa taarifa yako sio tuu nimeishi US na Canada, US is my 2nd home, wife and kids are American subject hivyo nakuja kama kwangu!.

    Huku Bongo ninaishi pale kwa Mtogole, nimepanga ubazi mzima!, its 30 years now sikawahi kushindwa kulipa kodi hata mara moja, sijawahi kulala njaa hata siku moja, huko sio kutoboa?.
    I just love what I do for living!, I won't be dependant on anybody until that day!, sasa ni kutoboa gani huko unakokuzungumzia?. Kama ni usafiri ninao, natumia TZ 11, kama naenda mbali, dala dala zipo zinafika kila mahali, na kama nina haraka napanda boda boda, tukiwa na family tunapanda bakaj, kuna kutoboa gani zaidi ya hivi?.
    Kama una bajeti ya kununua magazeti
    Kila Jumapili nunua Nipashe,
    Kila Jumatatu nunua Jamhuri
    Kila Jumatano nunua Raia Mwema
    Kila Ijumaa nunua Mwananchi
    Kuna makala zangu, ya Nipashe ya leo ni hii
    Wito: Ibara ya 18 ya Katiba, Iheshimiwe na Wote, Kusifu na Kupongeza ni Haki, Kupinga na Kukosoa Pia ni Haki. Sio Uadui, Sio Chuki, Sio Kinyume! isome halafu uniambie kama nimesifu!.
    NB. Kunisoma na kunielewa lazima na wewe uwe na level fulani ya uelewa!.
    Karibu
    P
 

BROO huna bahati kwakweli dah!! mpaka wanateuliwa ambao hawataki uteuzi huo wakati wanaoukodolea macho kama wewe walaaa hawakuoni
Mkuu MWALLA , uliwahigi kukutana na bandiko hili?

P
 
Mkuu umenichekesha sn, ungekuwa jeuri usingefyata mkia na kujikuta unajikomba kwa jiwe kwenye ubunge na matokeo yake ukaishia kura moja, mtu ambaye anaweza kusema ni jeuri ni Mbowe au Lissu wengine wote ni wasaka fursa tupu
jamaa hana bahati hata kwa jumong anampita kama hamuoni.. hili ndo tatizo la uchawa
 
Ndugu yangu Mayalla utasumbuka Sana Na wasomaji wengi wa JF,
Wao wanasoma maandiko yako huku tayari wana maandiko yao vichwani mwao wakidhani wanakujibu wewe. .

Unapo wasiliana nao kwa kujibu, unajibu andiko lako ulilo wakilisha na sio walio nayo vichwani mwao.
 
Kaka hivi wajua kwamba viongozi wakuu wa Nchi pongezi zao zinaandaliwaga kàbla hawajaanza ata Kazi?... pongezi zao kutoka kwetu sisi wananchi ziko kikatiba...hao watu tumewatengea mishahara minono ,marupurupu kibao,ulinzi wa Hali ya juu na masurufu kedekede mpaka wafe..in-return hao jamaa inabidi wafanye Kazi kama punda .na sisi Kazi yetu ni kuwa watchdog na kutembea na mijeredi Nyuma yao...hawatakiwi kupumzika na ndio maana hizo Kazi zao wanaziomba kila baada ya muda Fulani..mtu kama hawezi anapisha wengine kwa either kujiuzuru au kwa kutoomba tena.,sasa wewe kila siku ukiwa unampongeza Driver wako kwa kurudisha gari lako nyumbani Bila mkwaruzo lakini mafuta yako Empty na gari ni chafu kama Dustbin utakua mtu wa ajabu kidogo..Pongezi pekee anazostahili Kiongozi wa kuchaguliwa ni kumchagua tena.. other than that PLE3AASE LET THEM DO THEIR DAMN JOBS...we pay them Soo much to Pat them on their backs.
 
Bwana mdogo tatzo huna nyota, unajitahidi kupiga debe ila huonekani...
Mkuu Asalamaleko , salamaleko, bandiko hili utakuwa hujaliona, hivyo unadhani mimi ni mpiga debe ila nionekane!, mimi sio mpiga debe na ninayoyafanya ni bonafide genuine from my heart na sio ili nionekane!.
P
 
alikuwa wapi uchaguzi wa 2020?
 
Safi sana mwanabodi mkuu mzee P.
 
Pascal sijui kichwa chako kikoje? bado unatafuta wapi wakuone wakupe uteuzi? This is one aspect among a million! How come you praise such a silly single rubbish!
Mkuu The Retired, this is all about being appreciative, kushukuru kwa kidogo ili upatiwe kikubwa!. Kama unanihesabu na mimi ni praise team, nafukuzia teuzi, endelea kuniona hivyo, wenye jicho la tatu who can read in between the lines, wananijua sifukuzii teuzi na Maza mwenyewe niliisha mweleza Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Kama mamlaka ya uteuzi ni Rais Samia, mtu mwenye guts kupandisha bandiko kama
HII kweli huyu ni msaka teuzi?!.

Acheni kazi iendelee!
P
 
Mkuu Kioo, mirror01, karibu mitaa hii!
P
 
"The lady doth protest too much, methinks" - Hamlet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…