Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio wewe tu uliyeiona hii match fixing. Msikilize na huyu mdau hapaHiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Kwanini nisijivunie wakati nilizipata kwa kufanya kazi mpaka nikafika fainali? Wewe iyo medali ya Asante Mosepe unayo? unakumbuka ulichofanyaga south Africa Tena kwenye kikombe icho icho cha Asante Mosepe hatua ya robo fainali?Utakuwa matatizo wewe sasa unajivunia medali za asante Motsepe
Sawa mwanetu 😀
Wewe Caf una nini Cha kuisumbua yanga?? Wewe na yanga Caf bora yanga ambae ana medali kuliko robo miaka yote kwa makombe yote ya CAFTunataka soka halali sio la mipango kila mmoja anaelewa ndio maana wakifika kafu kusiko na mipango ya mwigulu wala mexime ni vichapo tu..tunataka bingwa wa kuiwakilisha nchi sio bingwa wa kushiriki na kudizaini jezi nyingi za mashindano ya caf then hazivaliwi maana wanatoka mapema!
Aiseeh nimeshangaa mno yani humu kuna mijitu mijinga sijapata kuona sasa haraka ya kupost ni ya nin na hujui unachoenda kuzungumzia kwenye post yako..Shoot on target 0 halafu ubao unasoma 2:1. Unajua kwanza maana ya shot on target?
Dakika 90 zilikamilika hakuna shuti unajifanya kujua kumbe mweupe!Aiseeh nimeshangaa mno yani humu kuna mijitu mijinga sijapata kuona sasa haraka ya kupost ni ya nin na hujui unachoenda kuzungumzia kwenye post yako..
Mimi sijakataa ndio maana nimekuletea huo uzi mwingine kama ushahidi uone jinsi watu wanvyolalamikia hiyo mechi mkuu.Mpira hauchezwi chumbani mkuu ndio maana kila mmoja kashuhudia uhuni wa mwigulu na jamaa zake!
Kama unajivunia kuwa na medali asante Motsepe, usiwadharau simba kushiriki mashindano hayo basi.Kwanini nisijivunie wakati nilizipata kwa kufanya kazi mpaka nikafika fainali? Wewe iyo medali ya Asante Mosepe unayo? unakumbuka ulichofanyaga south Africa Tena kwenye kikombe icho icho cha Asante Mosepe hatua ya robo fainali?
Lazima wadharaulike kwasababu wakati yanga anashiriki waliyaita ni mashindano ya wakinamama sasa wao wapo uko jina litabaki ilo iloKama unajivunia kuwa na medali asante Motsepe, usiwadharau simba kushiriki mashindano hayo basi.
Sicheki na wowote naulinda wangu moyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Wacha nikuongeze mikuki na mishare!Sicheki na wowote naulinda wangu moyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Wacha nikuongeze mikuki na mishare!
Dakika tisini kwako ina maana gani labda?Dakika 90 zilikamilika hakuna shuti unajifanya kujua kumbe mweupe!
Hakuna.....Dakika tisini kwako ina maana gani labda?
Ukiambiwa kutoa tathimini ya gemu wewe utasema kulikua hakuna shot on target kwa Singida?
Basi tukubaliane unajivunia medali ya mashindano ya kina mama. Wakati mashindano ya wanaume unaishia makundi, simba wakiyashiriki huishia robo. Na vipi kuhusu yule aliyeyaita ya walioshindwa huna comment kwa sababu ni waupande wako? Hiyo ni double standard.Lazima wadharaulike kwasababu wakati yanga anashiriki waliyaita ni mashindano ya wakinamama sasa wao wapo uko jina litabaki ilo ilo
Walivyoishia robo wakaleta nini? Yanga iyo michuano ya wakinamama kavaa medali but Simba ata iyo medali anaiangalia kwenye tvBasi tukubaliane unajivunia medali ya mashindano ya kina mama. Wakati mashindano ya wanaume unaishia makundi, simba wakiyashiriki huishia robo. Na vipi kuhusu yule aliyeyaita ya walioshindwa huna comment kwa sababu ni waupande wako? Hiyo ni double standard.
Hilo ndio kosi lilocheza fainal za caf natumaini ulikuwa hujazaliwa!Walivyoishia robo wakaleta nini? Yanga iyo michuano ya wakinamama kavaa medali but Simba ata iyo medali anaiangalia kwenye tv
Ahahaha kweli maisha yanaenda Kasi sana,,unatuletea picha za miaka 50 iliyopita? Medali ziko wapi hapo?Hilo ndio kosi lilocheza fainal za caf natumaini ulikuwa hujazaliwa!