Poor game, Fixing match ,90 minutes Shots on target 0

Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Mkuu sio wewe tu uliyeiona hii match fixing. Msikilize na huyu mdau hapa
 
Utakuwa matatizo wewe sasa unajivunia medali za asante Motsepe
Kwanini nisijivunie wakati nilizipata kwa kufanya kazi mpaka nikafika fainali? Wewe iyo medali ya Asante Mosepe unayo? unakumbuka ulichofanyaga south Africa Tena kwenye kikombe icho icho cha Asante Mosepe hatua ya robo fainali?
 
Tunataka soka halali sio la mipango kila mmoja anaelewa ndio maana wakifika kafu kusiko na mipango ya mwigulu wala mexime ni vichapo tu..tunataka bingwa wa kuiwakilisha nchi sio bingwa wa kushiriki na kudizaini jezi nyingi za mashindano ya caf then hazivaliwi maana wanatoka mapema!
Wewe Caf una nini Cha kuisumbua yanga?? Wewe na yanga Caf bora yanga ambae ana medali kuliko robo miaka yote kwa makombe yote ya CAF
 
Shoot on target 0 halafu ubao unasoma 2:1. Unajua kwanza maana ya shot on target?
Aiseeh nimeshangaa mno yani humu kuna mijitu mijinga sijapata kuona sasa haraka ya kupost ni ya nin na hujui unachoenda kuzungumzia kwenye post yako..
 
Dakika 90 zilikamilika hakuna shuti unajifanya kujua kumbe mweupe!
 
Mpira hauchezwi chumbani mkuu ndio maana kila mmoja kashuhudia uhuni wa mwigulu na jamaa zake!
Mimi sijakataa ndio maana nimekuletea huo uzi mwingine kama ushahidi uone jinsi watu wanvyolalamikia hiyo mechi mkuu.
 
Kwanini nisijivunie wakati nilizipata kwa kufanya kazi mpaka nikafika fainali? Wewe iyo medali ya Asante Mosepe unayo? unakumbuka ulichofanyaga south Africa Tena kwenye kikombe icho icho cha Asante Mosepe hatua ya robo fainali?
Kama unajivunia kuwa na medali asante Motsepe, usiwadharau simba kushiriki mashindano hayo basi.
 
Lazima wadharaulike kwasababu wakati yanga anashiriki waliyaita ni mashindano ya wakinamama sasa wao wapo uko jina litabaki ilo ilo
 
Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Sicheki na wowote naulinda wangu moyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lazima wadharaulike kwasababu wakati yanga anashiriki waliyaita ni mashindano ya wakinamama sasa wao wapo uko jina litabaki ilo ilo
Basi tukubaliane unajivunia medali ya mashindano ya kina mama. Wakati mashindano ya wanaume unaishia makundi, simba wakiyashiriki huishia robo. Na vipi kuhusu yule aliyeyaita ya walioshindwa huna comment kwa sababu ni waupande wako? Hiyo ni double standard.
 
Walivyoishia robo wakaleta nini? Yanga iyo michuano ya wakinamama kavaa medali but Simba ata iyo medali anaiangalia kwenye tv
 
Hilo ndio kosi lilocheza fainal za caf natumaini ulikuwa hujazaliwa!
 
Attachments

  • Screenshot_20250215_132737_Facebook.jpg
    Screenshot_20250215_132737_Facebook.jpg
    239.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom