Hii ishu ilimchanganya sana, nadhani hata alizuiliwa ku perform hits zake popular alizopiga kwa jina la prince, hiki kipindi kilikua kigumu sana na akakipita...Kwa huyu mwanamziki cha kujifunza zaidi ni jinsi alivyoweza ku survivie hicho kipindi...Yani alinyimwa haki kutumia jina lake kimkataba....nadhani kisa tu kutaka kuachana na lebel.....yani kama ilivyokua kesi ya ze komedy na east africa tv na mpaka kuhamia kwao TBC kwa jina lingine....Ananikumbusha alivyokuwa anaitwa the artist formerly known as Prince..dah ilikuwa very big hiyo kitu
Purple rain ni hatari saanaThe music icon amekutwa amekufa leo asubuhi nyumbani kwake, Paisley Park estate in Chanhassen, Minnesota.
TMZ reports na the Associated Press wame-confirm kuwa nguli huyo wa muziki,Prince Rogers Nelson, amefariki akiwa na umri wa miaka 57 tu. Japo sababu ya kifo chake akijatajwa, lakini kuna habari zinasema Prince alikuwa anasumbuliwa na mafua na alikatisha ziara yake ya kimuziki. Wiki iliyopita rubani wake alilazimika kutua ndege kwa ghafla ili kumuwahisha hospitali wakati anarudi kutoka Atlanta.
Prince atakumbukwa kwa influence kubwa kwenye modern music, kwani alikimbiza sana kuanzia late '70s mpaka miaka ya '90s. Albums zake zilizotamba ni pamoja na Purple Rain, 1999, Dirty Mind, Sign O' the Times,Controversy, Lovesexy, na Diamonds and Pearls.
R. I. Paradise Legend
Evelyn Salt, kuna mafua makali sana huko mbele. Nasikia yakikukamata yanakausha mpaka sauti kwa mda. Yana ambatana na kikohozi kikali!.R.i.p prince......
Mie wa kizazi cha awilo longomba hata simjui, but mmh mafua yanaua mweh!!!
Hivi miaka 57 ni such a young age ??It's so sad that Prince died at such a young age. He will be missed!.
Kwa wenzetu, yes!. Kule wengi wanapiga miaka 90 kama mchezo!.Hivi miaka 57 ni such a young age ??
Duuu hawa wazungu ambao wakifikisha miaka 50 utadhani ni mzee wa Miaka 90 ?Kwa wenzetu, yes!. Kule wengi wanapiga miaka 90 kama mchezo!.
Sikujua kumbe yanaua kah mi nikiumwa hata yazidi nafanya yangu na ninaona siugonjwaWatu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
57 Bado sana mkuu, kwa hali ilivyo kwasasa kuishi kiafya na kujilinda na maradhi, kuanzia 70 -75 ndio tutaanza kukuita mzee. kina mzee mwinyi, mzee mkapa, na wengine tunao mitaani na vijijini...mfano mcheki Magufuli na pushapu zake unadhani mwinyi anaweza kupiga zile!!Hivi miaka 57 ni such a young age ??
Duu sawa Mkuu ila mdau aliposema 57 is such a young age ,sijui hawa wanaotangulia mbele ya haki wakiwa 18-45 tuwaweke kundi gani ,halafu wanaposema life Expectancy imeshuka sasa hivi ni miaka 50 na ushee wanakosea eeh ??57 Bado sana mkuu, kwa hali ilivyo kwasasa kuishi kiafya na kujilinda na maradhi, kuanzia 70 -75 ndio tutaanza kukuita mzee. kina mzee mwinyi, mzee mkapa, na wengine tunao mitaani na vijijini...mfano mcheki Magufuli na pushapu zake unadhani mwinyi anaweza kupiga zile!!
hahaha ni kweli hili limechukuliwa kwa kutazama upande mmoja tu, wa kulinganisha wazee wanaoanzia 70s ambao kama walibahatika kupata watoto at age 20s then wanaona watu wa age 50s ni watoto wao tuDuu sawa Mkuu ila mdau aliposema 57 is such a young age ,sijui hawa wanaotangulia mbele ya haki wakiwa 18-45 tuwaweke kundi gani ,halafu wanaposema life Expectancy imeshuka sasa hivi ni miaka 50 na ushee wanakosea eeh ??
Mkuu pop legends wanakwisha tena katika age hizi hizi.57 Bado sana mkuu, kwa hali ilivyo kwasasa kuishi kiafya na kujilinda na maradhi, kuanzia 70 -75 ndio tutaanza kukuita mzee. kina mzee mwinyi, mzee mkapa, na wengine tunao mitaani na vijijini...mfano mcheki Magufuli na pushapu zake unadhani mwinyi anaweza kupiga zile!!
Flue ya wenzetu ni hatarii unapata homa kali sana.....yani ni tofauti na flue ya huku kwetu mtu mpka analazwa...ingeletwa africa hiyo flue tungekufa wengiSikujua kumbe yanaua kah mi nikiumwa hata yazidi nafanya yangu na ninaona siugonjwa
Kha! Na wewe!!!!😕nilijua baraka de prince
Ananikumbusha alivyokuwa anaitwa the artist formerly known as Prince..dah ilikuwa very big hiyo kitu