Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

Ananikumbusha alivyokuwa anaitwa the artist formerly known as Prince..dah ilikuwa very big hiyo kitu
Hii ishu ilimchanganya sana, nadhani hata alizuiliwa ku perform hits zake popular alizopiga kwa jina la prince, hiki kipindi kilikua kigumu sana na akakipita...Kwa huyu mwanamziki cha kujifunza zaidi ni jinsi alivyoweza ku survivie hicho kipindi...Yani alinyimwa haki kutumia jina lake kimkataba....nadhani kisa tu kutaka kuachana na lebel.....yani kama ilivyokua kesi ya ze komedy na east africa tv na mpaka kuhamia kwao TBC kwa jina lingine....
 
The music icon amekutwa amekufa leo asubuhi nyumbani kwake, Paisley Park estate in Chanhassen, Minnesota.

TMZ reports na the Associated Press wame-confirm kuwa nguli huyo wa muziki,Prince Rogers Nelson, amefariki akiwa na umri wa miaka 57 tu. Japo sababu ya kifo chake akijatajwa, lakini kuna habari zinasema Prince alikuwa anasumbuliwa na mafua na alikatisha ziara yake ya kimuziki. Wiki iliyopita rubani wake alilazimika kutua ndege kwa ghafla ili kumuwahisha hospitali wakati anarudi kutoka Atlanta.

Prince atakumbukwa kwa influence kubwa kwenye modern music, kwani alikimbiza sana kuanzia late '70s mpaka miaka ya '90s. Albums zake zilizotamba ni pamoja na Purple Rain, 1999, Dirty Mind, Sign O' the Times,Controversy, Lovesexy, na Diamonds and Pearls.

R. I. Paradise Legend

34e8bf1a.jpg
Purple rain ni hatari saana
 
It's so sad that Prince died at such a young age. He will be missed!.
 
Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
Sikujua kumbe yanaua kah mi nikiumwa hata yazidi nafanya yangu na ninaona siugonjwa
 
Hivi miaka 57 ni such a young age ??
57 Bado sana mkuu, kwa hali ilivyo kwasasa kuishi kiafya na kujilinda na maradhi, kuanzia 70 -75 ndio tutaanza kukuita mzee. kina mzee mwinyi, mzee mkapa, na wengine tunao mitaani na vijijini...mfano mcheki Magufuli na pushapu zake unadhani mwinyi anaweza kupiga zile!!
 
Duu sawa Mkuu ila mdau aliposema 57 is such a young age ,sijui hawa wanaotangulia mbele ya haki wakiwa 18-45 tuwaweke kundi gani ,halafu wanaposema life Expectancy imeshuka sasa hivi ni miaka 50 na ushee wanakosea eeh ??
 
hahaha ni kweli hili limechukuliwa kwa kutazama upande mmoja tu, wa kulinganisha wazee wanaoanzia 70s ambao kama walibahatika kupata watoto at age 20s then wanaona watu wa age 50s ni watoto wao tu
Hili la life expectancy kwakweli nadhani linategemea daraja za kiuchumi katika jamii, kwakweli bado watu class ya chini ni wengi sana na ambao kuishi kiafya na kuweza kupata matibabu stahili bado sana kwahiyo average ya 50 ni possible, ila middle class miaka ya karibuni imeendelea kukua, kwa hiyo familia nyingi zinapata elimu ya kisasa, mazingira ya kiafya na uwezo wa kujitibu na kupata madawa na ndio tunashuhudia wazee wengi wanapiga hizi 80 hadi 90 na beyond. kwahiyo miaka 10 ijayo nadhani hiyo life expectancy itagawanyika na kupanda zaidi kadri middle class inavyoongezeka. Kukua kiuchumi kwa vijana mjini kunasaidia kukuza maisha na afya za wazee na jamaa zao vijijini.
 
Prince , huyu jamaa alikuwaga "forever young" ..R.I.P Prince
 
57 Bado sana mkuu, kwa hali ilivyo kwasasa kuishi kiafya na kujilinda na maradhi, kuanzia 70 -75 ndio tutaanza kukuita mzee. kina mzee mwinyi, mzee mkapa, na wengine tunao mitaani na vijijini...mfano mcheki Magufuli na pushapu zake unadhani mwinyi anaweza kupiga zile!!
Mkuu pop legends wanakwisha tena katika age hizi hizi.
 
Sikujua kumbe yanaua kah mi nikiumwa hata yazidi nafanya yangu na ninaona siugonjwa
Flue ya wenzetu ni hatarii unapata homa kali sana.....yani ni tofauti na flue ya huku kwetu mtu mpka analazwa...ingeletwa africa hiyo flue tungekufa wengi
 
Back
Top Bottom