mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
- Thread starter
- #21
Hii ishu ilimchanganya sana, nadhani hata alizuiliwa ku perform hits zake popular alizopiga kwa jina la prince, hiki kipindi kilikua kigumu sana na akakipita...Kwa huyu mwanamziki cha kujifunza zaidi ni jinsi alivyoweza ku survivie hicho kipindi...Yani alinyimwa haki kutumia jina lake kimkataba....nadhani kisa tu kutaka kuachana na lebel.....yani kama ilivyokua kesi ya ze komedy na east africa tv na mpaka kuhamia kwao TBC kwa jina lingine....Ananikumbusha alivyokuwa anaitwa the artist formerly known as Prince..dah ilikuwa very big hiyo kitu