Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amani