Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mbona husemi wanawagongea wake zenu wafia dinišAtoe permit ya mapadri waoe maana wanateseka sana,

Mimi nitasema pope John Paul ndio alikuwa boraAwali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Toa sababuAwali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
š¤£š¤£š¤£ Mkuu kitambo š¤£š¤£š¤£umeamua kinilipua sio ila una uzoefu wa kutosha itakua mimi na wewe ni wahanga ,ila basi tu acha waoe banah maana wake zetu hawapo salama umeongea kitu ambacho jamii inateseka nacho sanaMbona husemi wanawagongea wake zenu wafia diniš
Aisee Papa Ratzinger,mimi nampenda sana japo mimi sio mkatoliki,lakini mtu huyu namheshimu sana jinsi alivyoliongoza kanisa,na pia nampenda sana maana alikuwa anaongea classical latin,lugha ambayo mimi naipenda na kuimudu vizuri sanaAwali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Big NO!!!!!!Atoe permit ya mapadri waoe maana wanateseka sana,