Jinsi title ulivyoandika utafikiri Kuna papa wengine kwenye makanisa mengineAwali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Trump alishatoa taarifa ya Papa na imekuwa vile alivyotaka, alipoulizwa anapenda Papa awe nani alijibu nataka niwe mimi kisha akasema tena angependa atoke kwake.Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Kuna kila namna waliingia kwenye kile chumba wakiwa wanajua abc, ndio maana imekuwa mapema hivyoTrump alishatoa taarifa ya Papa na imekuwa vile alivyotaka, alipoulizwa anapenda Papa awe nani alijibu nataka niwe mimi kisha akasema tena angependa atoke kwake.
Asante kwa kuniweka vizuri, wapo bora zadi kuliko yeye waliwahi kuwepo ila bora kwa wakati wao, ila huyu ni bora kwa karne hii tulio nayo , shukrani.labda ungesema kwa miaka mingi au hata labda ungetumia karne lkn kusema kuwahi kutokea sijui umetumia kigezo gani? je, alikuwa bora klk Papa wa kwanza saint Peter? usisahau Upapa umeanza msaka 30 baada ya Yesu Papa Benedikt 2000 baada ya Kristo, hapo kati kati kati ya mwaka 30 na leo kuna mengi sana yametokea,Dunia imebadirika, imepitia mengi hivyo kusema Papa wa karne ya 21 ni bora klk wote si sawa kwa maoni yangu …
Trump alitaja matarajio yake, na sio yeye tu. Mamilioni ya watu walikuwa wanataja matarajio yao nani awe Papa. Robert ni Kardinali kama wengineo, kumtarajia awe Papa sio suala la ajabu.Trump alishatoa taarifa ya Papa na imekuwa vile alivyotaka, alipoulizwa anapenda Papa awe nani alijibu nataka niwe mimi kisha akasema tena angependa atoke kwake.
Taja sababuAwali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na changamoto kadha wa kadha.
Amepokelewa kw shangwe na furaha kubwa na wengi wa wauminia na watu wote katika ujumla wake.
Lakini ukweli unabaki katika kipindi cha hivi karibuni, kipindi cha kati na kipindi cha nyuma kidogo aliye kuwa kadnali Joseph Ratzinger na ambaye aliitwa Benedict xvi alikuwa pape bora kuliko wengi wawalio tangulia , waliopo na pengine wajao.
Apumzike kwa amaniView attachment 3328384
Ubora kwenye kipi?Asante kwa kuniweka vizuri, wapo bora zadi kuliko yeye waliwahi kuwepo ila bora kwa wakati wao, ila huyu ni bora kwa karne hii tulio nayo , shukrani.
Wewe ni padre au unawasemea? . Miaka wanayomaliza masomoni pamoja na semina za hapa na pale humfanya kila mmoja kuamua kwa dhati kuingia katika upadre wakijua kuwa hawataoa.Atoe permit ya mapadri waoe maana wanateseka sana,
Mkuu mbona umenitunuku upadri sio mbaya ila kama nikiwa padri nitakua nimewasilisha hoja zao kama muwakilishiWe
Wewe ni padre au unawasemea? . Miaka wanayomaliza masomoni pamoja na semina za hapa na pale humfanya kila mmoja kuamua kwa dhati kuingia katika upadre wakijua kuwa hawataoa.
Na kuoa kunasaidiaje katika suala la uzinzi? Mbona walioko kwenye ndoa ni wazinzi sana, na mbona kuna wasitaka ndoa kabisa na sio mapadre.
Mzee nyakati zinabadilika. Hata Yesu Kristo alikuja kutengua baadhi ya sheria za Musa.We
Wewe ni padre au unawasemea? . Miaka wanayomaliza masomoni pamoja na semina za hapa na pale humfanya kila mmoja kuamua kwa dhati kuingia katika upadre wakijua kuwa hawataoa.
Na kuoa kunasaidiaje katika suala la uzinzi? Mbona walioko kwenye ndoa ni wazinzi sana, na mbona kuna wasitaka ndoa kabisa na sio mapadre.
Wewe sio padre alafu unataka waoe!! Hayo unavyosema ni tabia tu wapo walio oa na wanafanya hayo.Mkuu mbona umenitunuku upadri sio mbaya ila kama nikiwa padri nitakua nimewasilisha hoja zao kama muwakilishi
Ni hivi mkuu swala sio kujuwa ukiingia upadri hakuna ndoa swala ni kuenda kuishi katika hiyo hali ya kutokua na mke, mapdri wangapi wanazalisha na wanafamilia kisirisiri ,ni wangapi wanabaka nk je wengine wamewezaje kuwa na mke na kufanya kazi ya kichungaji ya kueneza injili ,wewe unalalamika kuwa watawezaje kuwa na mke na wakafanya injili
tofautisha papa benedict na francisBora? Pamoja na hili sekeseke la kubariki mashoga lililoleta kizaazaa?