Pope Benedict wa 16 ana salia kuwa Pope bora kuwahi kutokea katika Kanisa Katoliki

Mimi nitasema pope John Paul ndio alikuwa bora
 
Toa sababu
 
Mbona husemi wanawagongea wake zenu wafia dini😂
🤣🤣🤣 Mkuu kitambo 🤣🤣🤣umeamua kinilipua sio ila una uzoefu wa kutosha itakua mimi na wewe ni wahanga ,ila basi tu acha waoe banah maana wake zetu hawapo salama umeongea kitu ambacho jamii inateseka nacho sana
 
Aisee Papa Ratzinger,mimi nampenda sana japo mimi sio mkatoliki,lakini mtu huyu namheshimu sana jinsi alivyoliongoza kanisa,na pia nampenda sana maana alikuwa anaongea classical latin,lugha ambayo mimi naipenda na kuimudu vizuri sana
 
KUNA PAPA MMOJA WALE WA MWANZO BAADA YA YESU SIKUMUELEWA SANA!
Yule aliyekataza watu kuoa wake wengi, na akasema ukisha oa mke mmoja hakuna kuachana hadi kifo.
Sasa watu kama hawaendani si wata toana roho?
Nikifikiria pia hii changamoto ya watoto wa mitaani na single mothers waliojaa mitaani inayosabishwa na wanaume kukatazwa kuoa mke wa pili; napata wasiwasi...
Pia umuhimu wa baba unaenda ukipungua kwa sababu ya watoto kulelewa na mzazi mmoja wa kike (single mother) na kupelekea mama kujitetea kwa watoto kwa kueleza ubaya wa baba aliyewatelekeza hata kama sio sawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…