Hivi mtu atafanya propaganda juu ya maelezo ya msimamo wa Kanisa, kwa lengo gani?Japokuwa ni taarifa nzuri na njema kwa sisi wote tunaopinga ushoga, lakini taarifa yenyewe imekaa kipropaganda na uongo mwingi, kwa sababu zifuatazo;
1. Taarifa haina source.
2. Taarifa haisemi hilo tamko la Papa limetolewa lini na wapi.
3. Taarifa nzima imekaa kishabiki na kihisia badala ya kuandika facts&details
4. Taarifa ipo kiujumla mnoo kuliko kulenga eneo au jambo mahsusi.
Upinde wanatumia wanaharakati vizuri sana.Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Kwann mtu anayejaribu kujiua anashtakiwa? Mwili ni wake, uhai ni wake, kufa kwake hakukoseshi haki msikiti wala kanisa, sasa objective ya kumkamata ni ipi?How? be objective... kwamba akiingliwa mwanamume dunia/mtu/kijiiji/kanisa/msikiti inakosa haki /RIGHTS hii na hii!
What is the best definition of human rights?
Human rights are the basic rights and freedoms that belong to every person in the world, from birth until death. They apply regardless of where you are from, what you believe or how you choose to live your life.
Yaani hili jambo kwako unaliona sio la msingi?...Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Ukristo sio Dini.Krito unamjua wewe , kuna wapagani hawana dini, unasemaje
Ni uonevu. mwacha ajiue.Kwann mtu anayejaribu kujiua anashtakiwa? Mwili ni wake, uhai ni wake, kufa kwake hakukoseshi haki msikiti wala kanisa, sasa objective ya kumkamata ni ipi?
Ukitaka kufunga kampuni unahakikisha hakuna atakayeathirika na kufungwa hiyo kampuni. Unapojiua unaacha mambo mengi nyuma, madeni, majukumu n.k nani ayafanye?Ni uonevu. mwacha ajiue.
Unajua historia ya Ufalme? Sheria ya kutojiua ni ya kifalme. Katika nchi za kifalme wewe na mimi ni mali ya mfalme. Objects of the mfalme. wewe mwili wako ni mali ya mtu na si wako. Wewe huna nafsi, nafsi ni mali ya mfalme, kama kilivyo kikombe , kuku, bata, kijiko. hatuna tofauti na hivyo vifaa vya mfalme. Hivyo kujiua ni kuua kifaa cha mfalme ndiyo maana waka criminalize kujiua.
Wabongo hawana wanalojuaa, wao ni kuwaza ngono tyuuh.Two incomparable scenarios! ushoga unavunja haki ya nani? Wizi ni legal issue na ushoga ni moral issue
Kwani huna official documents za kanisa? Haya mambo yamebainisgwa ila sema uvivu unawafanya kula vitu vya mtandao. A Catholic should posses documents on a all matters as explicated by the Church. Haya mambo yalishawekwa wazi kitamboHuu ndio ukweli unatakiwa kusema na kanisa. Mungu awabariki waliowezesha kutamkwa hadharan kwa ukweli huu.
Neno lake linatosha kuliponya kanisa na kizazi hiki na kuondoa uvumi uliokuwepo kuwa kanisa liko nyuma juu ya ushetani ule kwa mgongo wa haki za binadamu.
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE
Ulishasoma chapisho lokote la kanisa kuhusu homosexuality?Japokuwa ni taarifa nzuri na njema kwa sisi wote tunaopinga ushoga, lakini taarifa yenyewe imekaa kipropaganda na uongo mwingi, kwa sababu zifuatazo;
1. Taarifa haina source.
2. Taarifa haisemi hilo tamko la Papa limetolewa lini na wapi.
3. Taarifa nzima imekaa kishabiki na kihisia badala ya kuandika facts&details
4. Taarifa ipo kiujumla mnoo kuliko kulenga eneo au jambo mahsusi.
Nipe credible source inayosema kanisa LA ujerumani kimeruhusu. Pili inaonekana haujui hierarchical structure ya kanisa katoliki. Unafikiri ni umoja wa semiautonomous churches kama Anglican. ReadUmeandika kirahisi mnoo kuliko uhalisia. Ngoja nikupe uhalisia.
1. Baadhi ya nchi (hususani Ujerumani) kanisa katoliki limepitisha azimio la kuwatambua na kuwabariki waumini na viongozi mashoga. Mpaka sasa Vatican haijachukua hatua yoyote ya kuwafukuza au kuwatenga maaskofu wa kanisa katoliki nchini Ujerumani. Kwa lugha nyepesi sana, Kanisa Katoliki la Ujerumani lina nguvu kubwa ya kuitikisa Vatican!
2. Kanisa katoliki hubadilisha misimamo na mitizamo yake mbalimbali kulingana na nyakati, mazingira na misukumo ya kijamii. Mfano halisi ni suala la uzazi wa mpango. Kwa hiyo hata hili la mambo ya Ushoga lolote linaweza kutokea kupitia kanisa katoliki hivyo usije ukashangaa.
3. Kanisa katoliki halifungwi sana na kile kilichoandikwa ndani ya Biblia, linafungwa zaidi na tamko la vatican (kile kitakachoamriwa na papa na baraza lake tu), na tamko hilo huenda likabadilika, kuboreshwa au kufutwa baada ya muda fulani. Hivyo omba sana Mungu ili papa na wale wanaomzunguka wasikutwe na huo upepo wa kishoga.
4. Msimamo wa waumini wa katoliki Ulaya na kwa sehemu fulani America ndio wenye nguvu kubwa katika kuliendesha kanisa Katoliki duniani (kama huamini hilo, tazama nani huchukua cheo cha upapa, na makadinali wengi hutokea wapi), sasa kile kinachoendelea ulaya kijamii, taratibu taratibu ndicho hicho hicho utakuja kukikuta ndani ya kanisa katoliki.
5. Kwa sehemu kubwa sana, kanisa Katoliki limepoteza nguvu ya ushawishi kijamii katika nchi nyingi za ulaya (waumini wamepungua, waumini wengi hawafuati misimamo ya kanisa, idadi ya makasisi imepungua, kashfa za ubakaji zimelikumbuka kanisa, makanisa mengi yamefungwa), hivyo njia yoyote (hata ya kuhalalisha visivyofaa kama ushoga) huenda ikatumika na kanisa Katoliki ili kufufua ushawishi na kukubalika.