Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

Jjiwe was a Satan, misukule ya jjiwe mnatapatapa,mnaomba kila mtu afe kama yule shetani wenu
 
Jikite kwenye mada , kwangu nimetangaza potewa na rais wangu mstaafu Mzee JAKAYA KIKWETE NATAKA AJITOKEZE BASI ,SASA SHIDA NINI TENA, Huyu Sio mali ya familia yake bali ni mali ya Watz wote ndo maana anaendelea humiwa pitia kodi yangu ,wewe, na watz wengine kwa umoja wetu

Kosa ni nini hapa
 
Hahaha hana papara anasoma kwanza mchezo...
 
Bandari siyo suala gumu Wala zito
 
usitegemee kama ataongea kitu cha maana juu ya bandari zaidi ya kuunga mkono juhudi za uwekezaji

hatutaki kusikia chochote kutoka kwake kwa sabau kutakuwa hakuna jipya
 
Kwanini isiwe Mzee Ally Hassan Mwinyi?
Mzee Mwinyi alisha sema amezeeka sana , na wakati mwingine anasema moja ya watoto wake wakimtembelea ,akiambiwa mwanao flani amefika kukusalimia ,humuhuliza bibi mkubwa kwamba ivi aliekuja ndo nani vile? ( ni maneno yake mwenyewe mzee)

Kama ndo ilivyo vipi mimi ambae ni kabwela si atasema kibaka uyo kaja

Namtafuta MZEE KIKWETE AJITOKEZE VINGINEVYO NITAFUNGUA FAIL POLICE LA KUPOTELEWA NA MZEE KIKWETE( RAIS MSTAAFU WA JMT)
 
Jk hawezi kukuongelea wewe mustakabali wa Taifa lalo na vizazi vyako. Waza wajukuu wakiwa wanakuulizia labda ulifanyeje Babu ama utadai wastaafu walikaa kimya namie nikakaa kimya
 
Watanganyika ni asili yenu kulalamika..
akiongea mambo ya nchi na uongozi kwa ujumla oohh anaongoza nchi kwa remote
akikaa kimya - mzee atakuwa anaumwa huyu ama yupo nje anakula bata πŸ˜€πŸ˜€
Kwakweli Mungu atusamehe tu, maana dah!
 
usitegemee kama ataongea kitu cha maana juu ya bandari zaidi ya kuunga mkono juhudi za uwekezaji

hatutaki kusikia chochote kutoka kwake kwa sabau kutakuwa hakuna jipya
Ndo naana amenyamaza ili wewe mwenye akili unateweza kukngea cha maana uongee; mwaga points mkuu watanzania tunakusikiliza!!!
 
Bandari siyo suala gumu Wala zito
Mkuu bandari ni swala la kitaifa na muhim ila pia swala la mzee Kikwete kumtafuta alipo kama Mwananchi ni haki yangu,
Mzee popote ulipo jitokeze Nakutafuta , hata pitia vyombo vya habari ,sina vigezo hata vya kukanyaga hata nje ya mji wako ila kama Uliekua rais wangu kwa miaka 10 nakutafuta
Jk hawezi kukuongelea wewe mustakabali wa Taifa lalo na vizazi vyako. Waza wajukuu wakiwa wanakuulizia labda ulifanyeje Babu ama utadai wastaafu walikaa kimya namie nikakaa kimya
Mimi namtafuta mtu ambae amekua kiongozi wangu mkuu wa nchi kwa miaka kumi ,na hoja sijamuona mda mrefu , sasa kebehi zako za nini katika uzi huu, tueshimiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…