Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

1. Ikiwa hufamu ujue na waovu wanaishi miaka mingi.

Kibiblia muovu kuishi miaka mingi ni laana.
2. Si kweli kuwa startv inaangaliwa na wengi, ni moja tvvstation yenye maudhui hafifu hadi sauti...bora hata redio yao ina sauti murua
Unamaanisha kua Raisi wa chato sio muovu kwakua alikata Moto mapema,hivi nyie wasukuma akili zenu zinakaa maeneo gani???
 
Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake

Kichwa tajwa chajieleza.

Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi

Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua bado tunaendelea kumtunza kama mstaafu wa urais chini ya kodi zangu na watz wengine kwa ujumla.

Nchi inapitia magum mengi , ikiwemo suala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo

1. Kama yuko Tanzania mbona simuoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo suala la BANDARI zetu n.k?

2. Ameamua kukaa kimya?

3. Anaumwa au anayo majukumu mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa?

4. Kama mzee muhimu wa taifa hili yanayoendelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malicela na uzee wake anazungumzia mambo haya japo akiwa Waziri Mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI

Mwisho

nenda kwake
 
ukiona jambo linafanywa na mama samia jambo lolote hata uteuzi ujue ni kikwete ndie muelekezaji
 


Lete Maneno....

Kufanya Mambo Mwayangumwayangu....
Akili Za Kuambiwa Changanya Na....

Walisema JK Hachomoi, Nawauliza Nimechomeka Wapi?
By JK Wa Msoga Chalinze Pwani Tanzania
 
Back
Top Bottom