Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Atawambia nyie waganga njaa tu😅😅Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake
Kichwa tajwa chajieleza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawambia nyie waganga njaa tu😅😅Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake
Kichwa tajwa chajieleza...
Numependa hii busaraIt's not wise to catch a falling knife, let it settle first then u'll pick it up.
Mimi ni Mtanzania na sitazami Star Tv taarifa ya habari huangalia ITV nk1. Je unafamu umri wa shetani?
2. Ni kweli startv inatazamwa na Watanzania wote?
A. Marwa niko Tarime moja. Mstaafu baba, RIP....wastaafu huwa hawasumbuliwi... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake
Kichwa tajwa chajieleza...
Halafu pandora box yake inazidi kufunguka..ipo siku nyoka aliyepangoni atatoka mazimaHili la bandari ni letu huku chini,
Pumbavu dogo , jk ni mali ya umma ,kama ulikua hujui jua , Acha zifike siku 21 naenda police kufungua RB ya kupotelewa na Rais wangu mstaafu Mzee( Mrisho J Kikwete)Acha utoto dogo fanya Mambo yako hv huko kwenu hasa kijijini hakuna umaskini uliotopea ukaujadili mpaka utake kujua maoni ya jk kwenye issue ya bandari?
Acha utoto dogo fanya Mambo yako hv huko kwenu hasa kijijini hakuna umaskini uliotopea ukaujadili mpaka utake kujua maoni ya jk kwenye issue ya bandari?
Sijui na sina ya kujua halipo namtaka mzee kikwete,na wala sida ya kumuombba pesa au piga picha nayeHivi polepole yupo wapi
Pumbavu, nimepotelewa na mtu mhimu ,alafu mjinga mmoja unakuja na ujinga hapa ,huna akili pumbavuRudi shule kilaza ww, eti "FAIL"
Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake
Kichwa tajwa chajieleza.
Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi
Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua bado tunaendelea kumtunza kama mstaafu wa urais chini ya kodi zangu na watz wengine kwa ujumla.
Nchi inapitia magum mengi , ikiwemo suala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo
1. Kama yuko Tanzania mbona simuoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo suala la BANDARI zetu n.k?
2. Ameamua kukaa kimya?
3. Anaumwa au anayo majukumu mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa?
4. Kama mzee muhimu wa taifa hili yanayoendelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malicela na uzee wake anazungumzia mambo haya japo akiwa Waziri Mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI
Mwisho
Anasakamwa na nani nataka ajitokeze au nimuone, kumbuka ni rais mtaafuBora aendelee kukaa kimya hivyo hivyo anasakamwa sana
Mtu akishika remote ukamsemesha atakujibu au kukusikiliza? Yrye anakomaa na kubonyezabonyeza tuNchi inapitia magum mengi , ikiwemo suala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo
1. Kama yuko Tanzania mbona simuoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo suala la BANDARI zetu n.k?
2. Ameamua kukaa kimya?
3. Anaumwa au anayo majukumu mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa?
4. Kama mzee muhimu wa taifa hili yanayoendelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malicela na uzee wake anazungumzia mambo haya japo akiwa Waziri Mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI
Asante kwa kurudisha avatar picha Yako ya awali tuliyoizoea.Mnataka watu watoe maoni yao kuhusu bandari ila hamuheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine,
Hapo akitoa maoni yake ambayo hayakufurahishi wewe bila shaka utafungua uzi mwingine hapa wakumsema vibaya,
Jifunzeni kwanza kuheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine hata kama hayo maoni hayakupendezi au hayakuja kama ulivyo tarajia wewe.
Ccchoko wwPumbavu, nimepotelewa na mtu mhimu ,alafu mjinga mmoja unakuja na ujinga hapa ,huna akili pumbavu
Pumbavu, huna adabu alafu jieshim , mie sio type ya wapumbavu kama weweCcchoko ww
MARADONA! 👊😅 ✌️✌️✌️💥Jakaya ni Mwanasiasa bobezi
hata wakati wake hakuwa anaongelea mambo yakiwa ya moto …anasubiri yamepoa then a achagua upande kwa busara sio kwa mihemko
wakati Waandishi wanamsubiri aongelee ya Escrow wakashangaa a anaongelea ya Tezi dume
sasa hivi yupo na Awesu ana ratibu Mkutano wa masuala ya maji Duniani
wakati wa Richmond akawa anaongelea ya Sinema ya Mapanki
Yule Mzee amekwepa mishale mingi sana kwa style hii
la Mkataba atakuja tu kuliongelea baadae sana kama vile alivyoongelea la Babu wa Loliondo wakati wa Katiba mpya
JK, RA, Sa100..... Nasikia ndio DPW TanzaniaSina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake
Kichwa tajwa chajieleza.
Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi
Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua bado tunaendelea kumtunza kama mstaafu wa urais chini ya kodi zangu na watz wengine kwa ujumla.
Nchi inapitia magum mengi , ikiwemo suala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo
1. Kama yuko Tanzania mbona simuoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo suala la BANDARI zetu n.k?
2. Ameamua kukaa kimya?
3. Anaumwa au anayo majukumu mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa?
4. Kama mzee muhimu wa taifa hili yanayoendelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malicela na uzee wake anazungumzia mambo haya japo akiwa Waziri Mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI
Mwisho
Waisiharamu ni wapumbavuuuu cheki eti huyu kwao ndiyo subuana watara wamemshikia mwamvuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Mnataka watu watoe maoni yao kuhusu bandari ila hamuheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine,