Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Elimu ndogo wajinga wengi hata, wasomi hakuna wanachotusaidia japo wamesoma sana, walewale wasomi wanatuibia.
 
Halafu waziri mzanzibar,Rais mzazibar.Hawana uchungu na Tanganyika. Wajukuu zetu ndo wataumia.Wao vilembwe wao watakuwa wanakula good time Zanzibar.
Siyo kula good time Zanzibar Tu, tayari wana nafasi zao Uarabuni wala hatutawaona milele
 
Mumeshindwa kutengeneza teethstick ndio mtaweza mambo ya Bandari yanayohitaji ubongo?
Sio Bandari tuu kwani sekta gani ambayo Tanzania inaweza? Eg Botswana mifugo yake haifiki hata robo ya Tanzania wa pili Africa ila Botswana mifugo inachangia GDP zaidi ya 20% ila Tanzania hata Asilimia 6% hakuna.

Swala sio uwingi Bali akili ndio maana darasa la watu 100 kipanga ni 1
 
Elimu ndogo wajinga wengi hata, wasomi hakuna wanachotusaidia japo wamesoma sana, walewale wasomi wanatuibia.
Jamii zetu zenyewe zinasifu wapigaji nenda Simiyu ukaone akina Chenge Status walizonazo
 
Unaweza kuamini miaka ya siting Uchumi wetu ulikuwa mbele ya Malaysia na Singapore pamoja na Indonesia.
Walahi nakumbuka Railway nilipanda na father miaka ya 60 bado wazungu wapo na tulilala first na lunch tukaletewa chumbani
Enzi hizo Shilling ilikuwa na thamani haswa na ina nguvu sana
Viwanda vilikuwepo na wafanyakazi walikuwa waadilifu haswa

Sijui watu wamebadilika kwa sababu ya viongozi majizi?
 
Oya wakazi wa Njombe na Geita wamefanyaje hapo
 
Bila kuliondoa lile chama la CCM lenye mawazo ya kikoloni na idea zilizopitwa na wakati, nchi inaongozwa na watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura usitegemee maendeleo
 
Hakuna tunachoweza kwani hata Elimu tumekariri tu wacha watusaidie baadae hata kuongoza nchi watatusaidia maana kama tumeshindwa kusimamia
Airport
Shamba la kapunga
Shamba la Mbarali
Loliondo
KIA
NGORONGORO
Nchi tunawezaje sasa
Hatuna uwezo huo hata kidogo
 
Samia auze Mashirika yote halafu arudi Unguja akale pensheni yake daadek...
 
Nyerere bora asingeomba uhuru,Uhuru ilitakiwa tuupate 2030.
 
Ukweli mtupu umeongea, ndugu yangu anafanya etern ya udakitari jana alisahau coat lake jaupe akaenda canteen kunya chai hakulikuta tena manaake liliibiwa na madakitari wenzake hao ndo wasomi wetu.....
Kwa kweli siwezi kushangaa kwani tangu udogo wao walikuwa waizi na utakuta mpaka baba ni mwizi

Wengi wamekuwa kwa wizi wizi hebu angalia coat tu tena Dr anaiba

Mimi nawajua vizuri sana nimewasoma sana na nimefanya biashara na kuwajua in and out watu wa matabaka tofauti tofauti
 
Mimi nikajua unakuja na solution Kumbe Na wewe unauliza tena
 
Uwekeza tunahitaji lakini kwenye maeneo ya teknolojia amayo hatujafika au mtaji ambayo hatuna.

Sasa hivi kufanya talling ya makontena na magari yaa kuyahesabu kwenye kupoke na kumkabidhi mtu sisi Watanzania hatuwezi?
 
Uwekeza tunahitaji lakini kwenye maeneo ya teknolojia amayo hatujafika au mtaji ambayo hatuna.

Sasa hivi kufanya talling ya makontena na magari yaa kuyahesabu kwenye kupoke na kumkabidhi mtu sisi Watanzania hatuwezi?
Wao walioweza wana vichwa 20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…