Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Elimu ndogo wajinga wengi hata, wasomi hakuna wanachotusaidia japo wamesoma sana, walewale wasomi wanatuibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuamini miaka ya sitini Uchumi wetu ulikuwa mbele ya Malaysia na Singapore pamoja na Indonesia.Uafrika ni LAANA
Ametupa kila kitu Mkuu ila tunaitumia akili kinyume na binadamu wengineMungu sijui sisi atupe nini
Siyo kula good time Zanzibar Tu, tayari wana nafasi zao Uarabuni wala hatutawaona mileleHalafu waziri mzanzibar,Rais mzazibar.Hawana uchungu na Tanganyika. Wajukuu zetu ndo wataumia.Wao vilembwe wao watakuwa wanakula good time Zanzibar.
Mumeshindwa kutengeneza teethstick ndio mtaweza mambo ya Bandari yanayohitaji ubongo?Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Jamii zetu zenyewe zinasifu wapigaji nenda Simiyu ukaone akina Chenge Status walizonazoElimu ndogo wajinga wengi hata, wasomi hakuna wanachotusaidia japo wamesoma sana, walewale wasomi wanatuibia.
Walahi nakumbuka Railway nilipanda na father miaka ya 60 bado wazungu wapo na tulilala first na lunch tukaletewa chumbaniUnaweza kuamini miaka ya siting Uchumi wetu ulikuwa mbele ya Malaysia na Singapore pamoja na Indonesia.
Oya wakazi wa Njombe na Geita wamefanyaje hapoKuwa wengi sio tija. Hata Serengeti utakuta nyumbu zaidi ya 5000 wanakimbizwa na Simba mmoja ambaye hajabalehe. Katika watu 63m kuna wafuatao;
1. Wenye ugonjwa wa kuchanganya L & R kwenye sentensi.
2. Mashabiki wa Yanga.
3. Wakazi wa Geita na Njombe.
4. Wasukuma
5. Wafuasi wa chama cha Mbowe.
6. Wafuasi wa Mwamposa na Kuhani Musa.
7. Mashabiki wa muziki wa Singeli
8. Wahadzabe
9. Machalii wa R
10. Wateja wa Kimboka, Sewa, Corner Bar, Kitambaa cheupe, nk.
12. Video vixens
13. Mpwayungu Village.
Ukitoa hayo makundi hapo juu unakuta wanaobaki wenye akili ni wachache sana kama laki 8 tu.
Nyerere bora asingeomba uhuru,Uhuru ilitakiwa tuupate 2030.Walahi nakumbuka Railway nilipanda na father miaka ya 60 bado wazungu wapo na tulilala first na lunch tukaletewa chumbani
Enzi hizo Shilling ilikuwa na thamani haswa na ina nguvu sana
Viwanda vilikuwepo na wafanyakazi walikuwa waadilifu haswa
Sijui watu wamebadilika kwa sababu ya viongozi majizi?
Kwa kweli siwezi kushangaa kwani tangu udogo wao walikuwa waizi na utakuta mpaka baba ni mwiziUkweli mtupu umeongea, ndugu yangu anafanya etern ya udakitari jana alisahau coat lake jaupe akaenda canteen kunya chai hakulikuta tena manaake liliibiwa na madakitari wenzake hao ndo wasomi wetu.....
Samia unamuinea hana kosa ni bunge lenu ambalo ni toothless na chama chenu.Samia auze Mashirika yote halafu arudi Unguja akale pensheni yake daadek...
Uwekeza tunahitaji lakini kwenye maeneo ya teknolojia amayo hatujafika au mtaji ambayo hatuna.Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Solution ni nini mkuu? Huwez jua watu wanaweza wakaanza nayo tz tuna resource ya watu wengi sanaMimi nikajua unakuja na solution Kumbe Na wewe unauliza tena
Wao walioweza wana vichwa 20?Uwekeza tunahitaji lakini kwenye maeneo ya teknolojia amayo hatujafika au mtaji ambayo hatuna.
Sasa hivi kufanya talling ya makontena na magari yaa kuyahesabu kwenye kupoke na kumkabidhi mtu sisi Watanzania hatuwezi?