Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Wewe bandali ikianza,wakichagua makontena ya uzinduzi ,Nawewe ni moja ya kontena,
 
Tunaishi katika jamii inao amini kwamba wizi ni kipato rushwa ni sehemu ya maisha kila kitu kuna dili, neenda uahamiaji, Nida, Tanapa Tenesco TRA ni wizi wizi.....sasa hiyo jamii ndo inategemea iendeshe badali kisasa.
 
Mfano mwingine Nigeria ina mafuta zaidi ya Dubai lakini Petroli mpaka foleni au uende Black Market kila kitu kinaibiwa mali za umma zinaibiwa fedha za umma zinaibiwa.

Waafrika tumefeli inatubidi tubadilishe mindset zetu.
Hao ndio majizi makubwa duniani
Na mataifa yote yanawaogopa
Wanaiba kwa kalamu sana

Nchi yao ni corrupt yote
Wizara ya ulinzi ililalamika kuwa hawawezi kupambana na Boko Haram wanahitaji silaha kubwa na ndege za kivita pamoja na helicopters

Walipewa fungu likapita kwenye bajeti ila cha kushangaza wakawa wanajeshi wanapigwa mpaka wanaingia nchi jirani

Rais Buhari akahoji kulikoni akafukuza maafisa wakubwa kumbe zile hela wamegawana waziri wa ulinzi na wakuu wa majeshi

Sasa kama wakuu wa majeshi wanaiba hela za silaha unategemea uzalendo gani hapo

Na sisi kuna watu huwa nawacheka wanaposema ooh hawa wafanyabiashara wenye asili ya nje tunaogopa usalama wa nchi au kuwabagua watu kwenye wadhifa kubwa na kusema sio watz


Ulaya nchi kama UK leo PM na waziri wa mambo ya ndani na Mayor wa jiji wote asili yao Asia ila husikii wazungu wanasema wanaogopa usalama wa nchi wakati wana mpaka nuclear weapons

Sisi hata kiwanda cha mishale hatuna halafu eti usalama [emoji1]
 
Wakaina nani? Ukienda vyuoni kumejaaa makada Chawa
 
Asante mkuu kwa kiburudisho 🤣🤣🤣
 
Kila mtu anataka akafanye kazi bandari au TRA akaibe
Li nchi limejaa wezi,mafisadi,wabinafsi ,nchi ina laana hii

Ova
Tena viongozi ndio zaidi wanatuma vimemo watoto wao wapelekwe border au bandari

Yaani mtu anapambana apate kazi ambazo anajua kuna rushwa kwa wingi
Sehemu za wizi na ulaji zinajulikana
 
Duh 60s salute kamanda

Ova
 
Wewe pimbi kweli unalinganisha idadi ya watu na maendeleo! Kwani nani amekuambia kuwa wengi ndio chanzo cha maendeleo! Ni sawa na kusema mwenye kuku 3.5M ni sawa na mwenye njiwa 65.7M!!! Hovyo kabisa!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kifalaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…