Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

SAS hata mkataba ujauona ila mwekezaji ushaanza muita katili [emoji3]
 
Ukiwa na nchi yenye raia wasiojitambua na viongozi wasiojielewa idadi ya watu si hoja!
 
Ukweli mtupu umeongea, ndugu yangu anafanya etern ya udakitari jana alisahau coat lake jaupe akaenda canteen kunywa chai hakulikuta tena manaake liliibiwa na madakitari wenzake hao ndo wasomi wetu.....
Etern...No

Internship...Yes
 
Kwa elimu gani??? Hii hii ya kukariri ili kujibu maswali???? Watu wanameza swali na jibu lake ndio unataka tukadesign bandar
 
Umesahau kwenye kundi pia kuna wale wasiosikiliza Muziki wa singeli wala bongofleva, pia sio macharii wa R, hawachanganyi R na L lakini ni wapumbavu kama ulivyo wewe.

Suala la ujinga na upumbavu wa mtu huwa halihusiani na vipaumbele vyake ktk maisha wala ukanda wa makazi ya mtu, bali Upungufu wa akili kichwani haya ndio sababu tosha.

Haya wahi nafasi yako kwa dactari upimwe ukichaa
 
Tatizo wasomi tupo awatupi kazi tusaidie taifa letu Leo vitengo nyeti wanaweka watoto zao ndo mana atusongi mbele, wewe c unaona wao wao tu ndo wamejazana kwenye system mfano rizi jr,makambabjr,mwinyi jr na wengine kibao yaani wanaendesha nchi kifalme
 
Hao ni kina Manjagata wakatanta babukijana Mayor Quimby
 
Dubai sio nchi ni mji tu huko U.A.E (United Arab Emirates) Mji Mkuu wa U.A.E ni Abu Dhabi .Kwahiyo hapo umelinganisha mji wa Dubai na nchi ya Tanzania😀😀
 
Wingi sio ishu, hata mchanga ni mwingi kuliko almasi lakini yenye thamani ni almasi,
 
Hela ulizo nazo ziko wapi?
 
Dubai sio nchi ni mji tu huko U.A.E (United Arab Emirates) Mji Mkuu wa U.A.E ni Abu Dhabi .Kwahiyo hapo umelinganisha mji wa Dubai na nchi ya Tanzania😀😀

Kuna watanzania bado hawajui kutofautisha kati ya DUBAI na EMIRATES, hata MONALISA na tangazo lake Azam tv, anatamka DUBAI NA QATAR, badala ya EMIRATES na QATAR,,,

Monalisa kama upo humu pitia comment yangu
 
Dubai sio nchi ni mji tu huko U.A.E (United Arab Emirates) Mji Mkuu wa U.A.E ni Abu Dhabi .Kwahiyo hapo umelinganisha mji wa Dubai na nchi ya Tanzania😀😀
Ninajua sana,na hakuna mahali nimeitaja Dubai kama nchi.
 
Mungu ametupa hii dunia tuitawale, mahali popote pale dunia ni nyumbani...! Ukiona Tz hupaelewi dunia ni kubwa sana tafuta mahali unapoona panakufaa nenda kaishi acha kulalamika hovyo, lawama hazijawahi kusaidia chochote
 
kama hujui ulza dubai sio nchii mkuu bas uwe hata una gugo tatzo namba kama hz zkiona wenzao wnagugo wnaona ushamba kmmke hii nchi ngum sna vijana wnyw wapumbav namna hii mana ww sio mjinga...wajinga hawajui wakiambiwa wanajua ila ww n mvivu wa kufkria na kuulza pia kujfnya vtu unavjua ni MPUMBAV
 
Mungu ametupa hii dunia tuitawale, mahali popote pale dunia ni nyumbani...! Ukiona Tz hupaelewi dunia ni kubwa sana tafuta mahali unapoona panakufaa nenda kaishi acha kulalamika hovyo, lawama hazijawahi kusaidia chochote
Tanzania ni yetu sote.Nimezaliwa hapa na nitatawala hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…