Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tatizo ni mfumo wa kuteua kwa kufahamiana badala ya kuweka watu wenye uwezo, hizi nafasi zilipaswa ziwe zinatangazwa watu wenye uwezo wanaomba na siyo kuteua hawa makada tupu wa CCMJamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Wewe pia nimekuongeza kwenye orodha.Wewe na hao waliokupa like wote ni mb waaa,, huezi kutukana kabila za watu na kujiona bora zaid...kunguni mmoja ww
Ya zanzibar anapewa Oman ya Tanganyika anapewa Dubai ccm oyeeee.Kwa nini hawajaibinafisisha ya Zanzibar ?
Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikatabaJamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Tanzania ni yetu sote.Nimezaliwa hapa na nitatawala hapa hapa.
Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikataba
Bila kusahau Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi ni Mzanzibar pia!!Halafu waziri mzanzibar,Rais mzazibar.Hawana uchungu na Tanganyika. Wajukuu zetu ndo wataumia.Wao vilembwe wao watakuwa wanakula good time Zanzibar.
Kwanini useme ya Dubai na Tanzania kwanini usiseme ya UAE nzimaJamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Mkuu,ina fikirisha sana kukuta kuona kwao LUCA MODRIC wapo 4M ila kuna watu zaidi ya 22 wacheza mashindano ya kombe la dunia mpaka hatua ya final (2018) lkn sisi 59+M hata wanaume 11 tu wa kufanya hivyo hawapatikani.Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Mwenye no ya Mr mbossa naiombaa, nna jambo nae mbna ni handsome sanaa??
Unataka tuliweke li CDM lichama la ukoo wenu, nyamaza huna unachokijua.Bila kuliondoa lile chama la CCM lenye mawazo ya kikoloni na idea zilizopitwa na wakati, nchi inaongozwa na watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura usitegemee maendeleo
Tena kubwa sana dah! Na wamekuban brother 😿Uafrika hasa utanzania ni LAANA
Kwani Israël Wapo wangapi na dunia nzima inawashinda?Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Huko Ulaya hawajawekeza Bandari zote,Baharini,Kwenye maziwa na nchi kavu.Mfano pale Antwerp DP wamewekeza kwenye gateway moja tu.Tena hata kwenye hilo gate wapo joint venture na kampuni zingine.Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikataba
UAE ni muungano huo ,Dubai ndo inayodeal na sisi.