Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Tatizo ni mfumo wa kuteua kwa kufahamiana badala ya kuweka watu wenye uwezo, hizi nafasi zilipaswa ziwe zinatangazwa watu wenye uwezo wanaomba na siyo kuteua hawa makada tupu wa CCM
 
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikataba
 
Kuna watu hawawapendi waarabu sijui shida nini!!
 
Halafu waziri mzanzibar,Rais mzazibar.Hawana uchungu na Tanganyika. Wajukuu zetu ndo wataumia.Wao vilembwe wao watakuwa wanakula good time Zanzibar.
Bila kusahau Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi ni Mzanzibar pia!!
 
Wenzetu bandari zao licha ya kuweka wawekezaji au kuendesha wao, wamekuwa mstari wa mbele kufanya research. Sisi ni mabingwa wa semina watu wapo radhi waende UK,Singapore na China kwenye semina na kutalii kuliko kuwekeza kwenye research

Taasisi kubwa au shirika kama halifanyi research na kuwekeza kwenye research haliwezi kutoboa sayansi haitaki maneno ya kwenye kahawa
 
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kwanini useme ya Dubai na Tanzania kwanini usiseme ya UAE nzima
 
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Mkuu,ina fikirisha sana kukuta kuona kwao LUCA MODRIC wapo 4M ila kuna watu zaidi ya 22 wacheza mashindano ya kombe la dunia mpaka hatua ya final (2018) lkn sisi 59+M hata wanaume 11 tu wa kufanya hivyo hawapatikani.

Sasa na hili ulililo lileta mkalitazame upya,(watch it).
 
Bila kuliondoa lile chama la CCM lenye mawazo ya kikoloni na idea zilizopitwa na wakati, nchi inaongozwa na watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura usitegemee maendeleo
Unataka tuliweke li CDM lichama la ukoo wenu, nyamaza huna unachokijua.
 
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kwani Israël Wapo wangapi na dunia nzima inawashinda?
 
Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikataba
Huko Ulaya hawajawekeza Bandari zote,Baharini,Kwenye maziwa na nchi kavu.Mfano pale Antwerp DP wamewekeza kwenye gateway moja tu.Tena hata kwenye hilo gate wapo joint venture na kampuni zingine.
 
Emirates ndio nchi yenyewe, Dubai ni jiji kama dar japo ni aibu kuifananisha Dubai city na jiji baya na chafu kama dar, olenimala mwaniki?
Dubai mji unakuja kuendesha Bandari zote Tanzania.Inauma.
 
Back
Top Bottom