Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Kushuka roof sioni kama ni big deal, zinarekebishika.....Muhimu ni gari lisiwe na matatizo ya mara kwa mara kwenye engine na mifumo mingine ya uendeshajiTatizo la kushuka roof si limekubuhu sana kwenye bmw hizi wanazoagiza siku hizi?
Ukweli ni kwamba hakuna gari lisilosumbua hapa Tanzania....mazingira ya barabara mbovu, vipuri feki, elimu duni, mafundi wasio na ujuzi, uchumi mbovu wa mtu binafsi....hizi ni baadhi tu ya sababu zinazofanya kila gari lisumbue...[emoji38]Naaaam! Tatizo wabongo hawawezi kukiri kama gari aliyonunua inamtesa hadi atakapoiuza... Utasikia tu ukitunza itadumu sasa kutunza gari sio kama kunywa orojo! Kila mbongo gari yake hainywi mafuta, kila mbongo gari yake haimsumbui [emoji23][emoji23]
Mkuu nakubaliana na wewe...Ni kweli mkuu ila hata hao wenye uwezo wa kumiliki wanawake namba 1 kuna muda wanalia lia maana maisha nayo hayo constant muda wote... Nilikuwa nasoma reviews za audi A4 hata wazungu ambao tunawaona hawana shida wanalia nayo na hasa gharama za matengezo ta engine maana ndio tatizo kubwa
Nakutaka radhi mtani..[emoji1787][emoji1787]Hapo kwenye yanga hebu tutake radhi mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Interior designer wa Toyota ana hoja za kujibuKilitime, gari yenye dashboard mbaya kuwahi kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]
Nissan watu wanatishana tu, spea za bei rahisi siku hizi zipo japo si nyingi kama toyota..na nimefunga mara kadhaa bei kama zile zile za toyotaKumiliki Nissan ni kama kumiliki demu Masaki [emoji23]!!! Mizinga ni malaki mpaka mamilioni on the spot.
Ila kwa sie wa Toyota ni kama kumiliki demu Tabata tu..Spoku ni za elfu 20 mpaka laki! Zikizidi hapo ni mara chache mno.
Na ndiyo Tatizo la wabongo, biashara ikishakuwa wanapandisha bei maradufu, then kiburi kinafuata kwa ukaribu..Hee wameona wamepata wateja wengi or
Pajero ni aina ya ndege huko S. AmericaHahah unaona kwa mfano Co. Ya Mitsubishi walikua na model yao ya Pajero lkn ikaonekana maana ya pajero kwa wahispania sio nzuri ikabidi model hio huko ma-mbele iitwe Mitsubishi Montero.
View attachment 1620098
Side mirror hela ya kawaida ni arround 250K - 400K.Boss wangu alikuwa nayo, Hii Dualis. Bodaboda akaparamia side mirror. Acha wee, aliipata kwa 300k.
Akaiuza, alieuziwa akaua GB kwa kusahau kufuata mashart ya service
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Na ni mtaalam wa puli kwa wahispania.Pajero ni aina ya ndege huko S. America
Na biashara inajifia zakeNa ndiyo Tatizo la wabongo, biashara ikishakuwa wanapandisha bei maradufu, then kiburi kinafuata kwa ukaribu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshacancel haraka sana hii gariBoss wangu alikuwa nayo, Hii Dualis. Bodaboda akaparamia side mirror. Acha wee, aliipata kwa 300k.
Akaiuza, alieuziwa akaua GB kwa kusahau kufuata mashart ya service
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
ikishajifia wanaanza kusema wamelogwa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji706][emoji706]Na biashara inajifia zake
Side mirror hela ya kawaida ni arround 250K - 400K.
Tena hizo ni Toyota. Kwa duallis kuwa na hiyo bei mbona mnashangaa??
Nissan Dualis ni CVT ukiweka ATF lazima Gear Box ifeNunua mkuu, then ulete mrejesho!!
Majuzi hapa kuna jamaa sijui kaweka ATF gani, gearbox imesizi mazima!
Wish bone zinakufaje? Au unamaanisha bush za
Kweli kabisa man, namiliki hii gari mwaka wa 2 sasa.Ninayo mwaka wa tatu Sasa, baada ya kushuka kwenye Noah nikaamua nikae humu.
Gari haina usumbufu wowote, mafuta inanusa, iko stable barabarani. Ni tamu Sana, tatizo watanzania ni mabingwa wa matango mwitu
Mkuu una hii gariHiyo gari inakuuwa huku inacheka ukitaka stress inunue
Kila mtu ananunua Gari kwa mahitaji yake mwenyewe (wengine wanatafuta luxury nyie kwa ajili ya kubebea simenti/tofali) so usipangie watu wote wanunue Toyota wakati wao wanataka Luxury.Sasa na msimu huu wa mvua madimbwi kibao mimaji inajaa barabarani ndio uburuze Nissan Nyanya yako imagine lile li njia la mnazi mmoja linalonyoosha hadi mfugale kunajaaga mimaji pale mbele. Lazma utubu tu πππ
Juzi nimeburuza Toyota langu mle hadi nikalionea huruma japo halijakorofisha. Maji yalikuwa usawa wa bonet nikawaza je mtu wa Nissan, Benz, Bmw au Audi atatoboa kweli bila dashboard kumeremeta πππ
Gari makini kwa watu makini.