Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Wajomba mnaosema nissan gari mayai,nissan patrol mnaijua?

Enzi hizo kabla ya haya ma vx nissan patrol ilikua ni habari ingine

wahenga najua mshajua naongelea gari gani,picha ishajileta haina haja ya picha tena.
 
Twin 1.5[emoji15][emoji15] nikiongezea kidogo navuta kimakonda changu!

Nimewaona insta so nikasema niulize naona wanajua kazi kwelikweli

Twin kiukweli ukipeleka gari hutojuta sema gharama na siku hizi ndiyo wamezidisha mwanzo walikua hawana hata bei
 
Tatizo la kushuka roof si limekubuhu sana kwenye bmw hizi wanazoagiza siku hizi?
 
Ninayo mwaka wa tatu Sasa, baada ya kushuka kwenye Noah nikaamua nikae humu.
Gari haina usumbufu wowote, mafuta inanusa, iko stable barabarani. Ni tamu Sana, tatizo watanzania ni mabingwa wa matango mwitu
em kapicha bas mkuu
 
asante sana kwa ushauri boss! naskia kluggee inakunywa sana mafuta... compared to subaru forester, ipi inakunywa zaidi?
Klugger ya cc2360 iko na fuel consumption nzuri sana! Subaru hiyo forester xt inakunywa sana kuliko kawaida... Zote nimezitumia
 
Yani sijui waliwaza nini.. Ukiwa unaendesha nje unaonekana kichwa tu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Vitara ni noma mkuu
 
Nissan unauziwa bei rahisi ila matunzo aghali sana. Toyota unauziwa bei ghali ila matunzo rahisi
Naaaam! Tatizo wabongo hawawezi kukiri kama gari aliyonunua inamtesa hadi atakapoiuza... Utasikia tu ukitunza itadumu sasa kutunza gari sio kama kunywa orojo! Kila mbongo gari yake hainywi mafuta, kila mbongo gari yake haimsumbui πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli mkuu ila hata hao wenye uwezo wa kumiliki wanawake namba 1 kuna muda wanalia lia maana maisha nayo hayo constant muda wote... Nilikuwa nasoma reviews za audi A4 hata wazungu ambao tunawaona hawana shida wanalia nayo na hasa gharama za matengezo ta engine maana ndio tatizo kubwa
 
Achana na nissan mi mwenyewe ni nayo ni kichefu chefu ni gari mayai haitaki manginjanginja pia spare aghali itakufilisi

Go fo kluger au landrover defender hutanutia
Haya ni maneno ya kuambiwa. Aachane na Nissan achukue gari gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…