Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twin 1.5[emoji15][emoji15] nikiongezea kidogo navuta kimakonda changu!
Nimewaona insta so nikasema niulize naona wanajua kazi kwelikweli
JUKE kwa kiisrael/herbew ni Mende.Vip kuhusu NISSAN JUKE ?
V8 tamu zaidi kwa kweli! Ndio maana kina Humphrey wanapata wazimu huko Chichiem.Sijawahi itumia hii gari zaidi ya Yale ya zamani.(Sx.)
Hivi hii new model na Land cruiser V8 ipi tamu?
Yap, muhimu sana.Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siti ngumu sana eeh 😂😂?Ni kama Rav 4 Masawe na Killi time, zile siti zake za nyuma ukikalia unaweza feel umekalia yale mabenchi ya benki wakati unasuburi kuhudumiwa..[emoji31][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Prado ile J120 tu ni very comfortable..Wanaliita Prado diamond. So kwa hili jipya i have no doubt kabisa.Sijawahi itumia hii gari zaidi ya Yale ya zamani.(Sx.)
Hivi hii new model na Land cruiser V8 ipi tamu?
Tatizo la kushuka roof si limekubuhu sana kwenye bmw hizi wanazoagiza siku hizi?Ni gari nzuri na hiyo bei ya 23M sijui uliionea wapia huenda ni kwa madalali vichwa panzi... Dualis nyingi zinazoingizi kwetu ni kati ya 2007-2009 na hizo bei zake ni 14-16M na huko 16M labda ukaagiziwe na hao vishoka mnaowaaita ma agent ila ukiagiza mwenye top top 14. Kuhusu matatizo yake kuwa tatizo lake kubwa ni kushuka kwa roof yani Dualis zote roof lazima itakuja kushuka au utaagiza tayari ikiwa imeshashuka ila siku hizi mafundi wazuri wapo wanafanya repair unaendelea kudunda.
Kuhusu ubovu nakataa ila nissan ni gari inahitaji umakini sana muda service ukifika peleka service tena kwa fundi anaejua kazi, spare funga kwa wakati la si sivyo utaikimbia labda kipengele ni bei ya spare imesimamia kucha kidogo ila pia sio ishu sana tofut na toyota spare bei chee (feki) na unaweza buta tu.
em kapicha bas mkuuNinayo mwaka wa tatu Sasa, baada ya kushuka kwenye Noah nikaamua nikae humu.
Gari haina usumbufu wowote, mafuta inanusa, iko stable barabarani. Ni tamu Sana, tatizo watanzania ni mabingwa wa matango mwitu
Vipi kuhusu Volkswagen Toureg ?Achana na nissan mi mwenyewe ni nayo ni kichefu chefu ni gari mayai haitaki manginjanginja pia spare aghali itakufilisi
Go fo kluger au landrover defender hutanutia
Mali yangu mwenyewe nianze kui expose JF, ntakuwa bwege, yaani Kila wakitaka picha natuma, duh. Mwisho mtataka nitume picha ya mke wanguem kapicha bas mkuu
Klugger ya cc2360 iko na fuel consumption nzuri sana! Subaru hiyo forester xt inakunywa sana kuliko kawaida... Zote nimezitumiaasante sana kwa ushauri boss! naskia kluggee inakunywa sana mafuta... compared to subaru forester, ipi inakunywa zaidi?
Yani sijui waliwaza nini.. Ukiwa unaendesha nje unaonekana kichwa tu...😂😂😂! Vitara ni noma mkuuHio ndio kitu kimeniudhi katika hio gari kwa kweli. Kuna jamaa yangu analo nikamwambia sijawahi kalia subaru hebu ni test drive. Lipo kimya sana ndani, sound system nzuri ila siti jau,,,yani upo kwenye 4*4 ila siti ziko chini utafikiri umekaa kwenye crown😂😂😂!
Niliendesha Suzuki Grand Vitara lipo na siti nzuri kuliko hio Subaru.
Yap. Ila ile haijawa designed
Kabisa kabisaV8 tamu zaidi kwa kweli! Ndio maana kina Humphrey wanapata wazimu huko Chichiem.
Naaaam! Tatizo wabongo hawawezi kukiri kama gari aliyonunua inamtesa hadi atakapoiuza... Utasikia tu ukitunza itadumu sasa kutunza gari sio kama kunywa orojo! Kila mbongo gari yake hainywi mafuta, kila mbongo gari yake haimsumbui 😂😂Nissan unauziwa bei rahisi ila matunzo aghali sana. Toyota unauziwa bei ghali ila matunzo rahisi
Ni kweli mkuu ila hata hao wenye uwezo wa kumiliki wanawake namba 1 kuna muda wanalia lia maana maisha nayo hayo constant muda wote... Nilikuwa nasoma reviews za audi A4 hata wazungu ambao tunawaona hawana shida wanalia nayo na hasa gharama za matengezo ta engine maana ndio tatizo kubwa....na magari ni kama wanawake...
1....Kuna mwanamke gharama zake za nywele, kucha,vocha,vipodozi, kinywaji akipendacho kwa mwezi mzima..akijumlisha gharama unakuta ni mshahara wa mtu fulani...na kuna wanaume wanamgharamikia na hawapigi kelele..[emoji38][emoji38]....
Ingekuwa wanawake hawa ni gari hapa kuna BMW,VW,,Benz,Aud, Nissan, Subaru na mengine meengi..
2....Kuna mwanamke kumgharamia , gharama zake ni za kawaida saana...hana mambo mengi...kuna wanaume wengi wanapenda kundi hili vile halina gharama kubwa..[emoji1][emoji1]....mwanamke ninayemzungumzia hapa angekuwa ni gari basi Ni TOYOTA zile common saana mfano IST, Alion,Premio, Spacio na wenzake weengi
3....Lakini pia usisahaku kuna wale wanawake wanajiuza pale Mrina Arusha,..hata buku tatu unamng'oa tu bao la fasta fasta... shubaamiti..[emoji38][emoji38][emoji28]..Wapenda vya kunyonga wanaponea hapa..
Wanawake hawa hufananishwa na Starlet, Carina, GX 90 mpka 100, Vitz old model za milango 3 na mengine meengi..
Kwa hiyo kila mtu huangukia kundi linaloendana na uwezo wa wallet yake au mapenzi yake..[emoji3][emoji3]
Sasa hawa wanaume wanaoangukia kundi la 2 na 3, kazi yao huwa ni kulia lia tu kuwa kundi namba 1 hapo juu halifai, eti lina gharama kubwa..[emoji38][emoji38]..
Tukae kwa kutulia watu waendeshe magari roho inapenda...bora wallet iwe na pesa za kununua spea pale zinapohitajika..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah! Nadhani ni aina ya materia wanayotumia labda yanaendana na hali ya hewa ya baridiTatizo la kushuka roof si limekubuhu sana kwenye bmw hizi wanazoagiza siku hizi?
Haya ni maneno ya kuambiwa. Aachane na Nissan achukue gari gani?Achana na nissan mi mwenyewe ni nayo ni kichefu chefu ni gari mayai haitaki manginjanginja pia spare aghali itakufilisi
Go fo kluger au landrover defender hutanutia