Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru zote zipo hivyo. Siti zake wameziweka chini sana. Ukiingia na kuketi kwenye gari utadhani umekaa kwenye mkeka. Na katika kitu sipendi ni kutumbukia kwenye gari hadi naendesha kwa hofu kwa kuchungulia.
 
Twin kiukweli ukipeleka gari hutojuta sema gharama na siku hizi ndiyo wamezidisha mwanzo walikua hawana hata bei
Kwa mtu anayependa gati yake, 1.5 sio pesa ya kuwaza.... Unajichanga gari yako inakwenda kutengenezwa inakuwa poa....
 
Wajomba mnaosema nissan gari mayai,nissan patrol mnaijua?

Enzi hizo kabla ya haya ma vx nissan patrol ilikua ni habari ingine

wahenga najua mshajua naongelea gari gani,picha ishajileta haina haja ya picha tena.
Nissan Safari, wahenga wanazijua pia
 
Kumiliki Nissan ni kama kumiliki demu Masaki 😂!!! Mizinga ni malaki mpaka mamilioni on the spot.
Ila kwa sie wa Toyota ni kama kumiliki demu Tabata tu..Spoku ni za elfu 20 mpaka laki! Zikizidi hapo ni mara chache mno.
 
Ukisoma reviews mtandaoni hakuna gari isiyo na review mbaya. Zote ni mbaya.

Niliwahi soma review za Jeep Wrangler, Mini Cooper na Nissan Patrol. Unaweza usinunue gari kwa review mbaya vile.
Kusoma review ni muhimu jambo sio lazima kubadili maamuzi yako, kwa mfano mm nimesoma review za audi a4 ila ndio kwanza hamu ya hiyo gari imezidi maana nimeona review zote zina lie kwenye jambo so naona hamna kubwa zaidi
 
Mbona dashboard bomba sana ile.... Ipo detailed.

Hebu nambie dashboard ya gari gani iko poa hapa tuelekezane!
Kaangalie sylphy 2013, audi hasa za kuanzia 2010, premio 2007-, zipo nyingi mkuu hizo ni kwa gari za kati
 
Kwa mtu anayependa gati yake, 1.5 sio pesa ya kuwaza.... Unajichanga gari yako inakwenda kutengenezwa inakuwa poa
ni kweli, ingawa uchumi unatofautiana ila mtu akipeleka pale hawezi jutia hela yake
Kwa mtu anayependa gati yake, 1.5 sio pesa ya kuwaza.... Unajichanga gari yako inakwenda kutengenezwa inakuwa poa....
 
Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
Boss wangu alikuwa nayo, Hii Dualis. Bodaboda akaparamia side mirror. Acha wee, aliipata kwa 300k.
Akaiuza, alieuziwa akaua GB kwa kusahau kufuata mashart ya service

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…