Hili suala la Xtrail ku'overheat huwa ni MYTHS tu...[emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa gari la xtrail uweke maji ya kisima kwa nini lisichemshe..?
Sababu kubwa ya watu kusema Nissan huwa zina chemsha ni hii..
kuna matoleo ya engine nikikumbuka code zake nitaziweka hapa...engine hizi zilikuwa hazina oil cooler...
Kama inavyofahamika kazi ya oil mbali na kulainisha mitambo, pia inasaidia kupooza engine.
Watu wengi waliopata matatizo na Nissan, watu hao ndiyo wamekuwa chanzoncha matatizo kwa kuhudumia Nissan kama vile wanahudumia Starlet...
Sent using
Jamii Forums mobile app